Edward Ngoyai Lowassa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
picha
maboresho...
Mstari 7:
| bunge la = [[Tanzania]]
| jimbo la uchaguzi = Monduli ([[mkoa wa Arusha|Arusha]])
| chama =[[CCMCHADEMA]] (tangu 28/07/15)
| tar. ya kuingia bunge = tangu 1990
| alirudishwa mwaka = 2005
Mstari 29:
'''Edward Ngoyayi Lowassa''' (amezaliwa [[26 Agosti]] [[1953]]) ni mwanasiasa nchini [[Tanzania]]. Alichaguliwa kuwa [[Waziri Mkuu]] wa kumi wa nchi hii tarehe [[30 Desemba]] [[2005]] na kujiuzulu tarehe [[7 Februari]] [[2008]] kwa kutajwa katika kamati ya bunge ya uchunguzi katika utoaji wa tenda kwa kampuni ya umeme ya Richmond kutokana na uzembe wa watendaji walio chini yake..
 
Lowassa ni mwenyeji na alikuwa mbunge wa [[Monduli]] katika [[Mkoa wa Arusha]]. Alisoma shahada ya kwanza katika mada ya tamthilia kwenye Chuo Kikuu cha [[Dar es Salaam]], halafu shahada ya pili katika sayansi ya maendeleo ya jamii kwenye Chuo Kikuu cha Hull nchini ([[Uingereza]]).
 
== Nyadhifa mbalimbali alizowahi kushika ==