Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 109:
[[Picha:Cape coast castle II.JPG|thumb|left|200px|Cape Coast Castle]]
[[Picha:Elmina slave castle.jpg|thumb|right|200px|Kasri la Elmina]]
Utawala wa [[Waashanti]] ilihudumu mwanzoni kama mtandao mlegevu kabla ya kuwa ufalme ulioungana huku ukiwa na [[urasimu]] ulioendelea na wenye uchanganuzi mkubwa uliokuwa na makao yake [[Kumasi]]. Inasemekana kuwa katika kilele chake, Waasantehene wangeweza kutuma [[askari]] 500,000 vitani[[vita]]ni na kuwa walikuwa na ushawishi wa kijeshi wa kiwango fulani juu ya majirani wake wote. Thuluthi moja ya Waashanti wote walikuwa watumwa.<ref>[http://www.britannica.com/blackhistory/article-24157 Utumwa.] [16] ^ Karibu Kwenye Encyclopaedia Britannica's Guide to Black History</ref> [[Waga walianzisha muungano wenye ufanisi mnamo 1500 na Wagonja, Wadagomba na Wamamprusi pia walipigania uwezo wa kisiasa katika miaka ya 1620.|Waga walianzisha muungano wenye ufanisi mnamo 1500 <ref name="encarta.msn.com">{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_8/Ghana.html#p78|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpwHCrq|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref> na Wagonja, Wadagomba na Wamamprusi pia walipigania uwezo wa kisiasa katika miaka ya 1620.<ref name="encarta.msn.com"/>]]
 
[[Thuluthi]] moja ya Waashanti wote walikuwa [[watumwa]].<ref>[http://www.britannica.com/blackhistory/article-24157 Utumwa.] [16] ^ Karibu Kwenye Encyclopaedia Britannica's Guide to Black History</ref>
Mawasiliano ya awali ya Ulaya kutoka kwa Wareno, walioingia Ghana mnamo 1914, yalizingatia upatikanaji wa dhahabu. Wareno walitua kwanza katika jiji la pwani lililokuwa makazi ya ufalme wa [[Wafante]] na kuliita eneo hili ''[[Elmina,]]'' jina ambalo linamaanisha “mgodi” kwa Kireno. Mnamo mwaka wa 1481, Mfalme John II wa Ureno aliagiza Diogo d'Azambuja kujenga Kasri ya Elmina, ambayo ilikamilishwa mwaka uliofuata. Lengo lao lilikuwa kufanya ubadilishanaji wa dhahabu, pembe za ndovu na watumwa, ili kuimarisha mamlaka yao yaliyokuwa yanakua kwa kasi katika eneo hilo.
 
[[Waga]] walianzisha [[muungano]] wenye [[ufanisi]] mnamo [[1500]]<ref name="encarta.msn.com">{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_8/Ghana.html#p78|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpwHCrq|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref> na [[Wagonja]], [[Wadagomba]] na [[Wamamprusi]], pia walipigania uwezo wa kisiasa katika [[miaka ya 1620]].<ref name="encarta.msn.com"/>]]
Kufikia mwaka wa 1598 Waholanzi walikuwa wameungana nao, na kujenga ngome katika maeneo ya Komenda na Kormantsi. Mnamo mwaka wa 1637, waliiteka Kasri ya Elmina kutoka kwa Wareno na vilevile Axim mnamo mwaka wa 1642 (Ngome ya Mtakatifu Anthony). Wafanyabiashara wengine kutoka Ulaya walijiunga nao kufikia miaka ya kati ya karne ya 17, hasa Waingereza, Wadenmarki na Waswiden. Wafanyabiashara Waingereza, waliovutiwa na rasilimali katika eneo hilo, waliliita ''Gold Coast,'' (Pwani ya Dhahabu), huku nao wanabiashara Wafaransa, wakivutiwa na mapambo waliyokuwa wakivaa watu wa pwani, wakiliita eneo la sehemu ya magharibi “Côte d'Ivoire", au Ivory Coast (pwani ya pembe za ndovu).
 
[[Mawasiliano]] ya awali na Ulaya kutoka kwa Wareno, walioingia Ghana mnamo [[1419]], yalizingatia upatikanaji wa [[dhahabu]]. Wareno walitua kwanza katika [[jiji]] la [[pwani]] lililokuwa makazi ya ufalme wa [[Wafante]] na kuliita eneo hili ''[[Elmina]]'', jina ambalo linamaanisha “[[mgodi]]” kwa [[Kireno]].
Zaidi ya ngome na kasri thelathini zilijengwa na wanabiashara Wareno, Waholanzi, Waingereza na Wadenmarki. Eneo la Gold Coast lilijulikana kwa karne nyingi kama ‘Kaburi la Mtu Mweupe’ kwa sababu wengi wa Wazungu kutoka Ulaya walioenda huko walikufa kutokana na malaria na magonjwa mengine ya eneo la hari.<ref>[http://web.archive.org/web/20080920070015/http://www.america.gov/st/peacesec-english/2008/September/20080915145840dmslahrellek0.5556452.html Bush kumtakasa Strong Uongozi wa Rais wa Ghana Kufuor.] America.gov. 15 Septemba 2008.</ref> Baada ya Waholanzi kuondoka mnamo mwaka wa 1874, Uingereza iliiweka Gold Coast chini ya himaya yake. Kufuatia ushindi wa Uingereza mnamo mwaka wa 1896, hadi unyakuzi wa uhuru mnamo Machi 1957, eneo la Ghana ya sasa ghairi ya sehemu ya Volta Region (British Togoland), lilikuwa likijulikana kama Gold Coast.
 
Mawasiliano ya awali ya Ulaya kutoka kwa Wareno, walioingia Ghana mnamo 1914, yalizingatia upatikanaji wa dhahabu. Wareno walitua kwanza katika jiji la pwani lililokuwa makazi ya ufalmeMwaka wa [[Wafante1481]], naMfalme kuliita eneo hili ''[[Elmina,]]'' jina ambalo linamaanisha “mgodi” kwa Kireno. Mnamo mwaka wa 1481, Mfalme John II wa Ureno]] aliagiza [[Diogo d'Azambuja]] kujenga [[Kasri]] ya Elmina, ambayo ilikamilishwa mwaka uliofuata. Lengo lao lilikuwa kufanya ubadilishanaji wa dhahabu, [[pembe za ndovu]] na watumwa, ili kuimarisha [[mamlaka]] yao yaliyokuwa yanakua kwa kasi katika eneo hilo.
Vita vingi vilitokea baina ya utawala wa kikoloni na baadhi ya mataifa ya eneo hilo vikiwemo Vita vya 1806 vya Ashanti-Fante na mapambano ya kudumu ya Waashanti dhidi ya Waingereza, ambayo yalikoma baada ya Vita vya Tatu baina ya Waashanti na Waingereza (the third Ashanti-British War) (1900-1901).<ref name="ReferenceA">[http://ca.encarta.msn.com/encyclopedia_761580620_3/Ashanti_Kingdom.html ] MSN Encarta. [http://www.webcitation.org/5kwpwoVQ8 Archived] 2009/10/31.</ref>. ] Hata chini ya utawala wa kikoloni machifu na watu walipinga mara kwa mara sera za Waingereza; hata hivyo, ushawishi wa kupinga ukoloni ulikolea baada ya Vita vya Pili vya Dunia. Mnamo mwaka wa 1947 chama kipya cha United Gold Coast Convention (UGCC) kilitoa wito wa “utawala wa kujitegemea katika wakati mfupi zaidi iwezekanavyo.”<ref>[http://books.google.com/books?id=T9io2oPOAXAC&amp;pg=PA92&amp;lpg=PA92&amp;dq=ugcc+ghana+self+governance&amp;source=bl&amp;ots=3TYg6W5eaA&amp;sig=q4U6m1yqQEXsQjAklzT4r06hS3I&amp;hl=en&amp;ei=fJNWSt3yCoSAMr_u2Z0I&amp;sa=X&amp;oi=book_result&amp;ct=result&amp;resnum=2 Historia ya Ghana - Google Books]</ref> Baada ya kuongezeka kwa maandamano mnamo 1948, wanachama wa chama cha United Gold Coast Convention walikamatwa, akiwemo Waziri Mkuu na Rais wa baadaye, Kwame Nkrumah. Baadaye, Nkrumah aliunda chama chake mwenyewe, the Convention People's Party (CPP) ambacho kiliongozwa na usemi ‘serikali ya kujitegemea sasa’ (self government now." Alianzisha kampeni ya ‘Vitendo Chanya’ na kupata ufuasi wa watu wa sehemu za mashambani na wa daraja la wafanyakazi.<ref name="ReferenceA"/>
 
Kufikia mwaka wa [[1598]] [[Waholanzi]] walikuwa wameungana nao, na kujenga [[ngome]] katika maeneo ya [[Komenda]] na [[Kormantsi]]. Mwaka wa [[1637]], waliiteka [[Kasri ya Elmina]] kutoka kwa Wareno na vilevile [[Axim]] mwaka wa [[1642]] (Ngome ya Mtakatifu Antoni).
 
Kufikia mwaka wa 1598 Waholanzi walikuwa wameungana nao, na kujenga ngome katika maeneo ya Komenda na Kormantsi. Mnamo mwaka wa 1637, waliiteka Kasri ya Elmina kutoka kwa Wareno na vilevile Axim mnamo mwaka wa 1642 (Ngome ya Mtakatifu Anthony). [[Wafanyabiashara]] wengine kutoka Ulaya walijiunga nao kufikia miaka ya kati ya [[karne ya 17]], hasa [[Waingereza]], [[Wadenmarki]] na Waswiden[[Waswidi]]. Wafanyabiashara Waingereza, waliovutiwa na [[rasilimali]] katika eneo hilo, waliliita ''Gold Coast,'' (Pwani ya Dhahabu), huku nao wanabiasharawafanyabiashara [[Wafaransa]], wakivutiwa na mapambo waliyokuwa wakivaa watu wa pwani, wakiliita eneo la sehemu ya magharibi “Côte d'Ivoire", au Ivory Coast (pwani ya pembe za ndovu).
 
Zaidi ya ngome na kasri [[thelathini]] zilijengwa na wafanyabiashara Wareno, Waholanzi, Waingereza na Wadenmarki.
 
Zaidi ya ngome na kasri thelathini zilijengwa na wanabiashara Wareno, Waholanzi, Waingereza na Wadenmarki. Eneo la Gold Coast lilijulikana kwa [[karne]] nyingi kama ‘Kaburi la Mtu Mweupe’ kwa sababu wengi wakati ya Wazungu kutoka Ulaya walioenda huko kutoka Ulaya walikufa kutokana na [[malaria]] na [[magonjwa]] mengine ya eneo la [[hari]].<ref>[http://web.archive.org/web/20080920070015/http://www.america.gov/st/peacesec-english/2008/September/20080915145840dmslahrellek0.5556452.html Bush kumtakasa Strong Uongozi wa Rais wa Ghana Kufuor.] America.gov. 15 Septemba 2008.</ref> Baada ya Waholanzi kuondoka mnamo mwaka wa 1874, Uingereza iliiweka Gold Coast chini ya himaya yake. Kufuatia ushindi wa Uingereza mnamo mwaka wa 1896, hadi unyakuzi wa uhuru mnamo Machi 1957, eneo la Ghana ya sasa ghairi ya sehemu ya Volta Region (British Togoland), lilikuwa likijulikana kama Gold Coast.
 
Baada ya Waholanzi kuondoka mwaka wa [[1874]], Uingereza iliiweka Gold Coast chini ya [[himaya]] yake. Kufuatia [[ushindi]] wa Uingereza mwaka wa [[1896]], hadi unyakuzi wa uhuru mnamo Machi 1957, eneo la Ghana ya sasa ghairi ya sehemu ya Volta Region (British Togoland), lilikuwa likijulikana kama Gold Coast.
 
[[Vita]] vingi vilitokea baina ya utawala wa kikoloni na baadhi ya mataifa ya eneo hilo vikiwemo [[Vita vya 1806 vya Ashanti-Fante]] na mapambano ya kudumu ya Waashanti dhidi ya Waingereza, ambayo yalikoma baada ya Vita vya Tatu baina ya Waashanti na Waingereza (the third Ashanti-British War) ([[1900]]-[[1901]]).<ref name="ReferenceA">[http://ca.encarta.msn.com/encyclopedia_761580620_3/Ashanti_Kingdom.html ] MSN Encarta. [http://www.webcitation.org/5kwpwoVQ8 Archived] 2009/10/31.</ref>. ]
 
Hata chini ya utawala wa kikoloni ma[[chifu]] na watu wao walipinga mara kwa mara [[sera]] za Waingereza; hata hivyo, ushawishi wa kupinga ukoloni ulikolea baada ya [[Vita vya Pili vya Dunia]]. Mwaka wa [[1947]] [[chama]] kipya cha [[United Gold Coast Convention]] (UGCC) kilitoa [[wito]] wa “utawala wa kujitegemea katika wakati mfupi iwezekanavyo.”<ref>[http://books.google.com/books?id=T9io2oPOAXAC&amp;pg=PA92&amp;lpg=PA92&amp;dq=ugcc+ghana+self+governance&amp;source=bl&amp;ots=3TYg6W5eaA&amp;sig=q4U6m1yqQEXsQjAklzT4r06hS3I&amp;hl=en&amp;ei=fJNWSt3yCoSAMr_u2Z0I&amp;sa=X&amp;oi=book_result&amp;ct=result&amp;resnum=2 Historia ya Ghana - Google Books]</ref>
 
Baada ya kuongezeka kwa [[maandamano]] mnamo 1948, wanachama wa chama cha United Gold Coast Convention walikamatwa, akiwemo [[Waziri Mkuu]] na [[Rais]] wa baadaye, [[Kwame Nkrumah]]. Baadaye, Nkrumah aliunda chama chake mwenyewe, the [[Convention People's Party]] (CPP) ambacho kiliongozwa na usemi ‘serikali ya kujitegemea sasa’ (self government now). Alianzisha kampeni ya ‘Vitendo Chanya’ na kupata ufuasi wa watu wa sehemu za ma[[shamba]]ni na wa [[daraja]] la [[wafanyakazi]].<ref name="ReferenceA"/>
 
[[Picha:Independence Arch - Accra, Ghana1.jpg|thumb|right|200px|Mnara wa Independence Arch, Ghana]]
Kwa mara nyingine Nkrumah alishikwa na kuzuiliwa kwa kuwa msimamizi wa chama ambacho kilisababisha ususiaji, migomo na vitendo vingine vya [[uasi]] wa [[raia]]. Baada

Hata hivyo, baada ya kushinda wingi wa viti katika Bunge ya Kuunda Sheria mnamo [[1952; hata hivyo]], Kwame Nkrumah aliachiliwa na kuchaguliwa kuwa Kiongozi wa MaswalaMasuala ya Serikali.

Baada ya mazungumzo na Uingereza, hatimaye tarehe 6, Machi 1957 saa sita usiku, Kwame Nkrumah alitangaza Ghana kuwa “huru milele”.<ref name="ReferenceA"/>
 
[[Bendera]] iliyokuwa na [[rangi]] [[nyekundu]], [[dhahabu]], [[kijani kibichi]] na [[nyota]] [[nyeusi]] ilikuwa bendera mpya mnamo 1957. Bendera hiihiyo iliundwa na [[Theodosia Salome Okoh]], na rangi nyekundu inawakilisha [[damu]] iliyomwagwa ili kupata uhuru, rangi ya dhahabu inawakilisha [[ukwasi]] wa [[madini]] wa Ghana, ile ya kijani kibichi inaashiria [[utajiri]] wa [[kilimo]] na ile nyeusi ni [[ishara]] ya Uhuru wa Waafrika.<ref>[http://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/republic/flag.php Ghana Bendera]</ref>
 
Huku ikiundwa kutoka kwa muungano wa maeneo ya Gold Coast na British Togoland kufuatia matokeo ya maono[[kura ya maoni]] ya watu yaliyodhaminiwa na Umoja wa Mataifa mnamo [[1956]], Ghana ilikuwa nchi ya kwanza ya Afrika Kusini mwa Sahara kunyakua uhuru mnamo 1957.
 
[[Kwame Nkrumah, Waziri Mkuu wa kwanza na baadaye Rais wa nchi ya sasa ya Ghana, hakuwa tu kiongozi wa Kiafrika wa kupigana dhidi ya ukoloni ila alikuwa pia mtu aliyekuwa na [[ndoto]] ya [[muungano wa Afrika]] ambayo haingejipata katika [[ukoloni mamboleo.]]. Alikuwa kiongozi wa serikali waya kwanza Afrika kukuza Muungano wa Waafrika (Pan-Africanism), wazo ambalo alilipata wakati wa masomo yake katika [[Chuo Kikuu Cha Lincoln]] lililolililoko [[Pennsylvania]] ([[Marekani]]), wakati ambapo [[Marcus Garvey]] alikuwa anapata umaarufu kwa [[harakati]] zake za “Back to Africa Movement." Aliunganisha ndoto za Macus Garvey na zile za [[mwanachuo]] mashuhuri Mmarekani Mweusi [[W.E.B. Du Bois]] ili kuandaa Ghana kisasa. Kanuni za Ghana za uhuru na haki, usawa na elimu ya bure kwa wote, bila kujali kabila, dini au mila, zinatokana na utekelezaji wa wazo la Pan-Africanism.
 
Kanuni za Ghana za uhuru na [[haki]], [[usawa]] na [[elimu ya bure kwa wote]], bila kujali [[kabila]], [[dini]] au [[mila]], zinatokana na utekelezaji wa wazo la Pan-Africanism.
 
Ingawa lengo lake la muungano wa Afrika halikuwahi kuafikiwa, Osagyefo Dr. Kwame Nkrumah, kama ajulikanavyo sasa, alishiriki kwa kiwango kikubwa katika kuzinduliwa kwa [[Shirika la Umoja wa Afrika]], ambalo lilifuatwa mnamo 2002 na Umoja wa Afrika (African Union). Kwa bahati mbaya, ingawaIngawa Nkrumah aliheshimika sana ng’ambo, hakuwa akipendwa katika maswalamasuala ya ndani ya nchi.<ref name="Kevin Shillington 575">{{Cite book|title=Encyclopedia of African history|author=Kevin Shillington|page=575}}</ref> Hakufeli tu kuanzisha uchumi wa viwanda, ila hata sera zake hukusu uchumi ziliishia kuifanya nchi ya Ghana kuwa maskini kuliko ilivyokuwa wakati wa ilipopata uhuru. Mafanikio yake yalikuwa kutambuliwa na raia wa Ghana wakati wa maadhimisho ya kuzaliwa Centenary wake na siku aliliweka kama likizo umma nchini Ghana.
 
Hakufeli tu kuanzisha [[uchumi wa viwanda]], ila hata sera zake hukusu [[uchumi]] ziliishia kuifanya nchi ya Ghana kuwa [[maskini]] kuliko ilivyokuwa wakati wa kupata uhuru. Mafanikio yake yalikuwa kutambuliwa na raia wa Ghana wakati wa maadhimisho ya kuzaliwa Centenary wake na siku aliliweka kama [[likizo]] umma nchini Ghana.
Bendera iliyokuwa na rangi nyekundu, dhahabu, kijani kibichi na nyota nyeusi ilikuwa bendera mpya mnamo 1957. Bendera hii iliundwa na Theodosia Salome Okoh, na rangi nyekundu inawakilisha damu iliyomwagwa ili kupata uhuru, rangi ya dhahabu inawakilisha ukwasi wa madini wa Ghana, ile ya kijani kibichi inaashiria utajiri wa kilimo na ile nyeusi ni ishara ya Uhuru wa Waafrika.<ref>[http://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/republic/flag.php Ghana Bendera]</ref>
 
Hatimaye Nkrumah aliondolewa mamlakani[[madaraka]]ni na [[jeshi]] alipokuwa ng’ambo mnamo Februari [[1966]], na mabadiliko hayo yalikaribishwa na wengi wa wakazi wa Ghana. Inaaminika na wengi wa wachanganuzi wa maswalamasuala ya kisiasa kwamba shirika la Marekani la Central Intelligence Agency ([[CIA]]) lilihusika katikana [[mapinduzi]] hayo, lakini wazo hilo halijawahi kuthibitishwa.
Huku ikiundwa kutoka kwa muungano wa maeneo ya Gold Coast na British Togoland kufuatia matokeo ya maono ya watu yaliyodhaminiwa na Umoja wa Mataifa mnamo 1956, Ghana ilikuwa nchi ya kwanza ya Afrika Kusini mwa Sahara kunyakua uhuru mnamo 1957.
 
Mfululizo wa baadaye wa mapinduzi kati ya 1966 na [[1981]] uliishia kwa kuingia madarakani kwa [[Liuteni]] wa [[Jeshi la Wanahewa]] (Flight Lieutenant) [[Jerry Rawlings]] mwaka wa 1981.
[[Kwame Nkrumah, Waziri Mkuu wa kwanza na baadaye Rais wa nchi ya sasa ya Ghana, hakuwa tu kiongozi wa Kiafrika wa kupigana dhidi ya ukoloni ila alikuwa pia mtu aliyekuwa na ndoto ya muungano wa Afrika ambayo haingejipata katika ukoloni mamboleo.]] Alikuwa kiongozi wa serikali wa kwanza Afrika kukuza Muungano wa Waafrika (Pan-Africanism), wazo ambalo alilipata wakati wa masomo yake katika Chuo Kikuu Cha Lincoln lililo Pennsylvania (Marekani), wakati ambapo Marcus Garvey alikuwa anapata umaarufu kwa harakati zake za “Back to Africa Movement." Aliunganisha ndoto za Macus Garvey na zile za mwanachuo mashuhuri Mmarekani Mweusi W.E.B Du Bois ili kuandaa Ghana kisasa. Kanuni za Ghana za uhuru na haki, usawa na elimu ya bure kwa wote, bila kujali kabila, dini au mila, zinatokana na utekelezaji wa wazo la Pan-Africanism.
 
Mfululizo wa baadaye wa mapinduzi kati ya 1966 na 1981 uliishia kwa kuingia mamlakani kwa Liuteni wa Jeshi la Wanahewa (Flight Lieutenant) Jerry Rawlings mnamo mwaka wa 1981. Mabadiliko hayahayo yalisababisha kusimamishwa kwa [[katiba]] ya nchi mnamo 1981 na kupigwa [[marufuku]] kwa [[vyama vya kisiasa]]. Uchumi ulishuka sana punde baadaye, na Waghana wengi walihamia nchi zingine. Ingawa wengi wa Waghana waliohama walienda [[Nigeria]], serikali ya Nigeria iliwarudisha Ghana karibu Waghana [[milioni]] moja mnamo mwaka wa 1983.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_10/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpu3n3T|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>
Ingawa lengo lake la muungano wa Afrika halikuwahi kuafikiwa, Osagyefo Dr. Kwame Nkrumah, kama ajulikanavyo sasa, alishiriki kwa kiwango kikubwa katika kuzinduliwa kwa Shirika la Umoja wa Afrika, ambalo lilifuatwa mnamo 2002 na Umoja wa Afrika (African Union). Kwa bahati mbaya, ingawa Nkrumah aliheshimika sana ng’ambo, hakuwa akipendwa katika maswala ya ndani ya nchi.<ref name="Kevin Shillington 575">{{Cite book|title=Encyclopedia of African history|author=Kevin Shillington|page=575}}</ref> Hakufeli tu kuanzisha uchumi wa viwanda, ila hata sera zake hukusu uchumi ziliishia kuifanya nchi ya Ghana kuwa maskini kuliko ilivyokuwa wakati wa ilipopata uhuru. Mafanikio yake yalikuwa kutambuliwa na raia wa Ghana wakati wa maadhimisho ya kuzaliwa Centenary wake na siku aliliweka kama likizo umma nchini Ghana.
 
Punde baadaye, Rawlings aliafikiana na shirika la [[International Monetary Fund]] juu ya [[mkataba wa mpango wa maendeleo]] (structural development plan) na kubadili sera nyingi za awali za uchumi na hivyo uchumi ukaanza kukua.
Hatimaye Nkrumah aliondolewa mamlakani na jeshi alipokuwa ng’ambo mnamo Februari 1966, na mabadiliko hayo yalikaribishwa na wengi wa wakazi wa Ghana. Inaaminika na wengi wa wachanganuzi wa maswala ya kisiasa kwamba shirika la Marekani la Central Intelligence Agency (CIA) lilihusika katika mapinduzi hayo, lakini wazo hilo halijawahi kuthibitishwa.
 
Katiba mpya iliyorudisha mfumo wa siasa za [[vyama vingi]] ilitangazwa mwaka wa [[1992]], na Rawlings alichaguliwa kuwa Rais na tena mwaka wa [[1996]]. Katiba ya mwaka wa 1992 ilimzuia kuwania kiti hicho kwa muhula wa tatu, kwa hivyo chama chake, National Democratic Congress, kilimchagua [[Makamu]] wake wa Rais, [[John Atta Mills]], kuwania urais dhidi ya [[vyama vya upinzani]].
Mfululizo wa baadaye wa mapinduzi kati ya 1966 na 1981 uliishia kwa kuingia mamlakani kwa Liuteni wa Jeshi la Wanahewa (Flight Lieutenant) Jerry Rawlings mnamo mwaka wa 1981. Mabadiliko haya yalisababisha kusimamishwa kwa katiba ya nchi mnamo 1981 na kupigwa marufuku kwa vyama vya kisiasa. Uchumi ulishuka sana punde baadaye, na Waghana wengi walihamia nchi zingine. Ingawa wengi wa Waghana waliohama walienda Nigeria, serikali ya Nigeria iliwarudisha Ghana karibu Waghana milioni moja mnamo mwaka wa 1983.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799_10/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwpu3n3T|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>
 
Punde baadaye, Rawlings aliafikiana na shirika la International Monetary Fund juu ya mkataba wa mpango wa maendeleo (structural development plan) na kubadili sera nyingi za awali za uchumi na hivyo, uchumi ukaanza kukua. Katiba mpya iliyorudisha mfumo wa siasa za vyama vingi ilitangazwa mnamo mwaka wa 1992, na Rawlings alichaguliwa kuwa Rais na tena mnamo mwaka wa 1996. Katiba ya mwaka wa 1992 ilimzuia kuwania kiti hicho kwa muhula wa tatu, kwa hivyo chama chake, National Democratic Congress, kilimchagua Makamu wake wa Rais, John Atta Mills, kuwania urais dhidi ya vyama vya upinzani. Huku akishinda [[uchaguzi]] wa mnamomwaka [[2000]], [[John Kufuor]] wa Chamachama pinzani cha New Patriotic, aliapishwa kama Rais mnamo Januari [[2001]], na kumshinda tena Mills mwaka wa [[2004]]; hivyo kuhudumakuhudumia kama Rais kwa mihula miwili.
 
Mnamo mwakaMwaka wa [[2009]], John Atta Mills alichukua [[mamlaka]] huku kukiwa na tofauti ndogo sana ya kura 40,000 ambazo ni (0.46%) <ref>[http://www.modernghana.com/news/197296/1/bbc-opposition-leader-wins-ghana-poll.html BBC: kiongozi wa upinzani wins Ghana uchaguzi - modernghana.com / ghana uchaguzi]</ref> kati ya chama chake, National Democratic Congress, na kile cha New Patriotic Party, tukio hili likiwa la pili la ubadilishanaji wa mamlaka kutoka kwa kiongozi mmoja aliyechaguliwa kihalali kwa mwingine, na hivyo kuimarisha hadhi ya Ghana kama [[demokrasia]] iliyo imara.<ref>{{Cite news |url=http://www.guardian.co.uk/world/2009/jan/08/world-news-in-brief |title=Thousands celebrate as new president takes office |work=[[The Guardian]] |date=8 Januari 2009 }}</ref>
 
[[Picha:Ghana regions named.png|thumb|right|180px|Maeneo ya Ghana]]