Ghana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{umbo}}
{{Infobox country
|conventional_long_name = Republic of Ghana
Line 16 ⟶ 15:
|government_type = [[Constitutional democracy]]
|leader_title1 = [[President of Ghana|President]]
|leader_name1 = [[John AttaDramani MillsMahama]]
|leader_title2 = [[Vice-President of Ghana|Vice-President]]
|leader_name2 = [[JohnKwesi Dramani MahamaAmissah-Arthur]]
|leader_title3 = [[Speaker of Parliament]]
|leader_name3 = [[Joyce Bamford-Addo]]
Line 26 ⟶ 25:
|area_magnitude = 1 E11
|area_km2 = 238,535
|area_sq_mi = 92,098099 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|percent_water = 34.561
|population_estimate = 2327,837000,000<ref name=unpop>{{Cite paper | url=http://www.un.org/esa/population/publications/wpp2008/wpp2008_text_tables.pdf | title=World Population Prospects, Table A.1| version=2008 revision | format=.PDF | publisher=United Nations | author=Department of Economic and Social Affairs
Population Division | date=2009 | accessdate= 2009-03-12}}</ref>
|population_estimate_rank = 48th45th
|population_estimate_year = 20092014
|population_census = 24,200,000
|population_census_year = 2010
|population_density_km2 = 99101.95
|population_density_sq_mi = 258.8 <!--Do not remove per [[WP:MOSNUM]]-->
|population_density_rank = 103rd
Line 85 ⟶ 84:
Vilevile, Ghana ni nchi inayojulikana sana katika ulimwengu wa [[soka]]. Tarehe [[16 Oktoba]] [[2009]], Ghana lilikuwa taifa la kwanza la Kiafrika kushinda [[Kombe la Dunia la FIFA]] kwa walio chini ya [[umri]] wa miaka 20 (FIFA U-20 World Cup) kwa kushinda nchi ya Brazil kwa ma[[bao]] 4 kwa 3 kupitia mikwaju ya [[penalti]]<ref>[http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/africa/8311196.stm ]</ref>.
 
== Asili ya Jinajina ==
[[Picha:Ghana Map.jpg|left|thumb|200px|Ramani ya Ghana]]
Neno ''Ghana'' lina maana ya Shujaa Mfalme na lilikuwa jina la heshima walilopewa wafalme wa Himaya ya Ghana nyakati za kale za Afrika Magharibi.<ref>{{Cite web|title=Ghana - MSN Encarta<!-- Bot generated title -->|url=http://encarta.msn.com/encyclopedia_761570799/Ghana.html|work=|archiveurl=http://www.webcitation.org/5kwptUKKy|archivedate=2009-10-31|deadurl=yes}}</ref>
Line 172 ⟶ 171:
== Maeneo na Wilaya ==
{{Main|Mikoa ya Ghana|Wilaya za Ghana}}
Ghana imegawanywaimegawiwa katika maeneo ya utawala kumi, ambayo yamegawanywayamegawiwa zaidi kwa jumla ya [[wilaya]] 138. Maeneo hayahayo ni:
{{Columns
|col1=
Line 230 ⟶ 229:
[[Picha:Ghana's 50th Independence Anniversary.jpg|thumb|left|200px|Maadhimisho ya Ghana ya miaka 50 ya utaifa]]
 
Kwa mujibu wa Fahirisi ya Mataifa YameangukaYaliyoanguka (Failed States Index), Taifa la Ghana linaorodheshwainaorodheshwa katika nambari ya 53 baina ya mataifa ambayo hayajaanguka huku likiorodheshwa kwa nafasi ya pili baina ya mataifa ya Afrika baada ya Mauritius. Taifa la Ghana liliorodheshwa katika nafasi ya 124 baina ya nchi 177 katika fahirisi hii na liliainishwa kama taifa la wastani.<ref>http://www.foreignpolicy.com/images/090624_2009_final_data.pdf</ref> Vilevile, nchi ya Ghana imo katika nafasi ya 7 baina ya nchi 48 za Afrika zilizo Kusini mwa Sahara katika fahirisi ya mwaka wa 2008 ya Ibrahim Index of African Governance ambayo ilitokana na hakiki za mwaka wa 2006. Fahirisi ya Ibrahim ni kipimo chenye uchanganuzi mwingi kuhusu maswala ya utawala barani Afrika, kinachotokana na maswala ya mabadiliko tofautitofauti ambayo huashiria kufuzu kwa serikali wakati wa kutoa huduma muhimu za kisiasa kwa wananchi wao.<ref>[http://www.moibrahimfoundation.org/ Karibu Mo Ibrahim Foundation]</ref>
 
'''Serikali:''' Taifa la Ghana lilianzishwa kama demokrasia ya bunge wakati wa kupata uhuru mnamo mwaka wa 1957, ikifuatiwa na ubadilishanaji wa serikali za kijeshi na za kiraia. Mnamo Januari 1993, serikali ya kijeshi iliondoka na kuipisha Jamhuri ya Nne baada ya uchaguzi wa urais na ubunge mnamo mwisho wa mwaka wa 1992. Katiba ya 1992 inagawa mamlaka kati ya Rais, Bunge, Baraza la Mawaziri, Baraza la Taifa na mahakama huru. Serikali huchaguliwa na upigaji kura wa haki kwa wote; ingawa bunge halina uwiano kabisa kwani wilaya zilizo na watu wachache hupata wawakilishi wengi kwa kila mtu zikilinganishwa na wilaya ambazo zina idadi ya juu ya wakazi.<ref name="cs">"Serikali na Siasa". [http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/ghtoc.html ''A Country Study: Ghana'' ] (La Verle Berry, mhariri). [[Library of Congress Idara ya Utafiti ya Shirikisho]] (Novemba 1994). ''Nakala unajumuisha makala hii kutoka chanzo hii, ambayo ni katika [[public domain.]] [http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/about.html ]''</ref>
Line 269 ⟶ 268:
 
Nchi hii ina maeneo tambarare, vilima vya chini na mito michache. Nchi ya Ghana inaweza kugawanywa katika maeneo matano tofauti ya kijiografia. Eneo la pwani ni sehemu ambayo ni ya chini na iliyo na ufuo wa mchanga huku ikipakana na koko na kukingamana na mito na vijito kadha wa kadha huku sehemu ya kaskazini ikiwa na maeneo ya juu yaliyo tambarare. Eneo la kusini magharibi na kusini ya kati mwa Ghana ni sehemu iliyoinuka sawa na pana yenye misitu ikiwa na vilima vya Ashanti na eneo sawa na pana (plateau) la Kwahu na safu ya vilima vya Akuapim-Togo vinapatikana kwenye mpaka wa mashariki mwa nchi. Bonde la Volta linachukua eneo la kati mwa Ghana. Sehemu ya juu zaidi nchini Ghana ni Mlima Afadjato ulio na urefu wa mita 855 (futi 2,904){{Convert|885|m|ft|0|abbr=on}} na unaopatikana kwenye safu ya vilima vya Akwapim-Togo.
 
Hali ya hewa ni ile ya hari. Kanda ya pwani ya mashariki ni ya joto na iliyokauka (angalia Dahomey Gap); pembe ya kusini magharibi, huwa na joto jingi na unyevu hewani; huku sehemu ya kaskazini ikiwa yenye joto jingi na iliyokauka. Ziwa Volta, ziwa lisilo la asili kubwa zaidi ulimwenguni, linaenea kupitia katika mafungu makubwa mashariki mwa Ghana na ndicho chanzo kikuu cha vijito vingi kama vile vya Oti na Afram.
 
Kuna misimu miwili mikuu nchini Ghana, masika na kiangazi. Kaskazini mwa Ghana huwa na msimu wa masika kutoka Machi hadi Novemba huku sehemu ya kusini, ukiwemo mji mkuu wa Accra, ikiwa na masika kutoka Aprili hadi Novemba katikati.
 
Kusini mwa Ghana kuna misitu ambayo daima ni ya kijani kibichi na ile ambayo hupoteza majani yake wakati fulani wa mwaka ikiwa na miti kama mikangazi, odumu na mipingo. Sehemu hii inayo pia mingi ya mitende ya mafuta na mikoko. Miti ya Shea, mibuyu na mikakaya hupatikana kwa kawaida katika maeneo ya Volta na kaskazini mwa nchi.
 
== Wakazi ==
[[Picha:TamaleGhana2.jpeg|thumb|left|160px|Tamale,Ghana|Barabara ya Bolga, Tamale]]
[[Picha:Ghana Larabanga mosque01.jpg|thumb|right|160px|Msikiti wa Larabanga, uliojengwa katika karne ya 13, Larabanga]]
[[Picha:Wesley Methodist Cathedral, Kumasi, Ghana.jpg|thumb|right|160px|[[Kanisa kuu]] la [[Wamethodisti|Kimethodisti]] Wesley, Kumasi]]
Nchi ya Ghana ina idadi ya watu inayokisiwainayokadiriwa kuwa [[milioni]] 2427.
 
===Makabila===
Mstari 288:
[[Lugha rasmi]] ni Kiingereza; hutumika sana katika masuala ya serikali na [[biashara]]. Lugha hiyo vilevile ndiyo inayotumika katika mafundisho ya [[elimu]]. Hata hivyo, Waghana wengi pia huzungumza kwa kiasi [[lugha]] moja ya kikabila.
 
Ingawa wataalamu wengine wanasema nchini Ghana huzungumzwa zaidi ya lugha na lugha ndogo 250, ''Ethnologue'' inaziorodhesha 79 tu (angalia pia [[orodha ya lugha za Ghana]]). Lugha za asili za Ghana zimegawanywa katika jamii mbili ndogo kutokana na jamii ya [[lugha za NigerKiniger-CongoKongo]].
 
Lugha za jamii ndogo ya Kwa zinapatikana zaidi katika maeneo ya kusini mwa Mto Volta, huku zile za jamii ya Gur zikipatikana katika eneo la kaskazini. Kikundi cha Kwa, lugha ambayo huzungumzwa na takribani 75% ya wakazi wa nchi, kinajumuisha lugha za Akan, Ga-Dangme na Ewe. Kikundi cha Gur kinajumuisha lugha za Gurma, Grusi, na Dagbani.<ref>{{Cite book|title=Ghana: A Country Study|editor=LaVerle Berry|year=1995|publisher=Federal Research Division, Library of Congress|isbn=0844408352|url=http://lcweb2.loc.gov/frd/cs/ghtoc.html|pages=81–82}}</ref>