Biashara ya ng'ambo ya Sahara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Oasis-Bilma.jpg|thumb|[[Oasisi]] ya [[Bilma]] mjini kaskazinimashariki mwa [[Niger]], kukiwa na mharara wa [[Kaouar]] kwa nyuma]]
'''Biashara ya ng'ambo ya Sahara''' (vilevile '''Biashara ya Masafa Marefu ya Afrika ya Magharibi''') ilikuwa [[biashara]] iliyohusisha [[Afrika ya Magharibi]] na [[Afrika ya Kaskazini]] kupitia [[jangwa la Sahara]].

Biashara hiihiyo ni mfano mzuri wa biashara za kanda au [[masafa marefu]] ambayo yaliyoongozwayaliongozwa katika upande wa Afrika Magharibi.
Biashara hiihiyo ilianza mnamo [[karne ya 4]] na iliendelea zaidi hadi katika [[karne ya 717]] ambapo ilianguka mazima. Biashara ilikuwa na matokeo kadha wa kadha katika historia ya Afrika Magharibi na Afrika kwa ujumla.
 
Biashara ilikuwa na matokeo kadha wa kadha katika [[historia ya Afrika Magharibi]] na [[Historia ya Afrika|ya Afrika]] kwa ujumla.
 
==Historia==
==Washiriki==
Washirika wakubwa wa biashara hii walikuwa watu kutoka Mataifa ya Kimagharibi ya Sudani, [[Ghana]], [[Mali]] na [[Songhai]] na baadhi ya watu kutoka mjini Kaskazini mwa Afrika.
===Kutoka Afrika Magharibi===
Ilihusisha kikundi cha [[Wasoninke]], [[Wamandika]], [[Wayoruba]], [[Wafulani]], [[Wahausa,]] na wengineo wengi.
===Kutoka Afrika Kaskazini===
Ilihusisha kikundi cha [[Waarabu]], Waberba[[Waberberi]], Watuareki na wengine wengi.
 
==Bidhaa au vitu vilivyokuwa vinauzwa==
[[Bidhaa]] zilizokuwa zinauzwa ni mchanganyiko, lakini vilevile mauzo yaliendana na kanda. MafanoMifano:
===Kutoka Afrika Magharibi===
Kutoka ndanindani kabisa ya [[misitu]] ya Afrika Magharibi, bidhaa zilikuwa [[dhahabu]], [[fedha]], [[ngozi]] za [[wanyama]], [[pembe za ndovu]], [[nta]] ya [[nyuki]], [[asali]] and vitu vingine vya thamani vilivyoweza kubebekakubebwa.
===Kutoka Afrika Kaskazini===
Kutoka Kaskazini, WaberbaWaberberi na Waarabu walileta bidhaa ndogondogo kwa mfano shanga, [[miwani]], [[silaha]] na vingine vingi. Kwa upande wa [[jangwa la Sahara]] [[chumvi]] ilikuwa inapatikana kutoka [[Taghaza]], [[Fez]] bana [[Bilima]]. Aina kuu yaza [[usafiri]] wakati wa biashara hii ilikuwa [[punda]], [[farasi]] na wakati mwingine walitembea kwa miguu. Lakini baadaye katika karne ya 7, [[ngamia]] aliletwawaliletwa na Waarabu ambao waliwasili wakitokea [[Mashariki ya Kati]] na kuanza kutumika kama chombo kikuu cha usafiri kupitia Biashara ya Sahara.
 
==Muundo wa biashara==
Biashara ilipangwa kwa mtindo wa misafara kama [[msururu]] ambayo ilianza kutoka kila upande wa Magharibi na Kaskazini mwa Afrika kupitia jangwa la Sahara. Misafara hiyo ilikuwa kama ifuatavyo:
===(a) Msafara wa Magharibi===
Msafara ulianza kutoka [[Sijilmasa]] na [[Fez]] huko nchini [[Morocco]]. Halafu unapitiaukapitia [[Taghaza]], [[Taoden]], [[Watala]], [[Audaghost]], [[Kumbi Saleh]] hadi [[Timbuktu]].
===(b) Msafara wa Kati===
Msafara ulianza kutoka [[Tunis]] wakapitia [[Ghat]], [[Kano]] kisha ukaenda zake na kupitia jangwani hadi [[Gao]] na mwisho kabisa [[Hausa]].
===(c) Msafara wa Mashariki===
Msafara huu ulianzia mjini [[Tripoli]] na ukaenda zake hahadi [[Marzul]] na mwisho kabisa ukamalizikia msafara huu huko mjini [[Bilima]].
 
==Sababu zilizopelekea kukua kwa biashara==
[[Image:Caravane hoggar1.jpg|thumb|Msafara wa ngamia wa siku hizi karibu na [[Milima ya Ahaggar]] katikati ya jangwa la Sahara, [[2006]].]]
Ukuaji na uendeleaji wa Biashara ya Ng'ambo ya Sahara iliathiriwa na mambo kadha wa kadha. Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na:
;A) '''Siasa Imara'''
NchiKatika nchi za Magharibi na Kaskazii hali ilikuwa [[shwari]] kabisa, hakunahakukuwa na [[vita]] wala nini. Hili lilitoa chumba cha ukuaji wa biashara ya ng'ambo.
;B) '''Eneo la Kijiografia'''
Mahali penyewe wanawezeshapanawezesha [[maendeleo]] ya kibiashara. Hili lilitokana na [[ukweli]] ni kwamba Magharibi na Kaskazini mwa Afrika zimepakana mno kupitia jangwa la Sahara.
;C) '''Upatikanaji wa bidhaa'''
Upatikanaji wa bidhaa huko Magharibi na Kaskazini mwa Afrika kulipelekea kukua kwa biashara ya ng'ambo.
 
;D) '''Utambulishaji wa ngamia kama zana ya kusarishia'''
Ngamia alitambulishwa na Waarabu kama zana kuu ya kusafirishia kupitia jangwa la Sahara katika karne ya 7. Hili lilirahisha shughuli za usafirishaji kupitia jangwani hivyo basi kupelekea ongezeko la ukuaji wa biashara hii.
;E) '''Uwepo wa chemchemi jangwani'''
Haya ni maeneo ya jangwa yenye vyanzo vya [[maji]]. Uwepo wa maeneo haya yenye maji umepelekea upatikanaji wa maji hayo kwa ajili ya ngamia na [[wafanyabiashara]], hivyo kuzidi kuchochea maendeleo ya ukuaji wa kibiashara.
;F) '''Ujio wa Waarabu'''
Ujio wa Waarabu katika Afrika ya Kaskazini hasa kwenye karne ya 7 kulipelekea upatikanaji wa bidhaa mpya kama vile vitu vya [[chakula]], [[mavazi]], ngamia, bunduki na [[unga wa bunduki]]. Katika njiapanda hii, ukuaji wa biashara ukawa hauepukiki tena.
;G) '''Uongozi mzuri wa falme'''
Karibia falme zote hasa huko Afrika Magharibi ilikuwazilikuwa na viongozi wazuri waliokuwa wanatoa [[hamasa]] ya ukuaji wa biashara. Falme kama ya Ghana na Mali zilitoa mpangilio mzuri wa biashara.
 
==Sababu zilizopelekea kuanguka kwa biashara==
Mwishoni mwa [[karne ya 14]], idadi ya misaramisafara ya biashara ikaanza kuanguka. Zifuatazo zilikuwa sababu kuu zilizopelekea kuanguka kwa biashara ya ng'ambo:
;A) '''Pepo kali za jangwani'''
Wafanyabiashara wengi walitelekeza biashara zao kwa kufuatia [[upepo]] mkali uliokuwa unavuma jangwani. Pepo hizi zilifanya ugumu sana wa ukuaji na uendelezaji wa biashara.
;B) '''Uvamizi wa Walmoravidi'''
Hawa walikuwa Waarabu wanaotokawa kutoka [[Mashariki ya Kati na]], wakataka kueneza [[Uislamu]] mjini Kaskazini na Magharibi mwa Afrika kwa mabavu. Hili nalo lilipelekea kudhoofisha biashara.
;C) '''Vita vitakatifu'''
Hivi vilikuwa vita baina ya Waislamu na hao wasiokuwa wanatakawasiotaka kufuata [[dini]] na [[utamaduni]] wa Kiislamu, hasa katika upande wa Afrika ya Magharibi. Matokeo yake, [[Vita vitakatifu]] hivi vimefanya ugumu wa uwepo wa [[amani]] na [[utulivu]] ndani ya misafara ya biashara na hivyo basi biashara ikaanguka.
;D) '''Ujio wa WazaunguWazungu'''
Ujio wa [[Wazungu katika]] upande wa Kaskazini na Magharibi mwa Afrika kulipelekea muendelezo wa migogoro kwa vile Wazungu nao walitaka kueneza [[Ukristo]] na kushikiriakushikilia biashara zote za misafara hii. Hili nalo lilichangia mazima katika kubomoa biashara.
;E) '''Kuanguka kwa falme'''
Kuanguka kwa baadhi ya falme, kama vile Ghana na Mali, nako kulichangia kudidimia kwa biashara kutokana na ukweli wa kwamba falme hizi zilitoa mwongozo wa kibiashara kupitia viongozi wao ambao walikuwa wanawasimamia wafanyabiashara.
;F) '''Kuibuka kwa [[Biashara ya utumwa ya ng'ambo yakupitia Atlantiki]]'''
Kuibuka kwa [[biashara ya pembetatu]] mwishoni mwa [[karne ya 15]] kulichangia kwa kuanguka mazima kwa biashara ya ng'ambo ya Sahara ambapo biashara ilihamia huko [[Amerika]] na [[Ulaya]].
 
==Matokeo ya biashara ya ng'ambo ya Sahara==
BiashaBiashara ya ng'ambo ya Sahara ilikuwa na matokeo (madharama[[dhara]]) kadha wa kadha kwa Afrika Magharibi na Kaskazini kwa ujumla. Baadhi ya matokeo hayo ni pamoja nahaya:
===(i)Utambulisho wa tamaduni mpya===
Biashara ilileta tamaduni mpya kwa Afrika Magharibi na Kaskazini. Miongoni mwa tamaduni hizo ni pamoja na [[mtindo]] wa mavazi, vyakula, [[lugha]] na vingine vingi viliingiavilivyoingia katika ukanda huu.
===(ii)Ongezeko la watu===
Biashara pia ilipelekea kuongezeka kwa watu katika Afrika Magharibi na Kaskazini hasa kwa ujio wa Waarabu na watu wengine kutoka sehemu mbalimbali.
===(iii)Ukuaji wa miji na vijiji===
Biashara ya Ng'ambo ilichangia kwa kiasi kikubwa katika [[maendeleo]] ya miji na [[kijiji|vijiji]] katika Afrika Magharibi na Kaskazini - kama vile [[Timbuktu]], [[Mandika]], [[Kumbi Saleh]], [[Taghaza]] na, [[Tripoli]] na mingine mingi.
===(iv)Uenezi wa dini ya Kiislamu===
Biashara pia ilipelekea kuenea kwa dini ya [[Uislamu|Kiislamu]] kwa Afrika Magharibi na Kaskazini kwa ujumla - ambapo baadhi ya Waafrika walitelekeza [[dini asilia za Kiafrika|dini zao za jadi]] na kujiunga na Uislamu.
===(v)Ndoa mseto===
[[Ndoa za mseto]] zilitokea baina ya Waafrika kutoka Magharibi na hao kutoka Kaskazini kwa kufuatia biashara hii. Vilevile ndoa za mseto zilitokea baina ya Waarabu na Waafrika.
===(vi)Ukuaji wa falme/madola===
Biashara pia ilipelekea kukua kwa falme nyingi huko Kaskazini na Magharibi mwa Afrika. Baadhi ya madola na falme hizo ni pamoja na Ghana na Mali.
===(vii)Kuibuka kwa viongozi na wafanyabiashara wakubwa===
Biashara ya ng'ambo ilipelekea kuibuka kwa viongozi wenye nguvu ([[athira]]/[[ushawishi]]) mkubwa hasa katika upande wa Magharibi. Viongozi hao ni pamoja na [[Sundiata Keita]], [[Mansa Mussa]], [[Askia Muhammad]] na [[Sunni Ali]].
 
==Tazama pia==
*[[Biashara ya masafa marefu ya Afrika Mashariki]]
Line 79 ⟶ 90:
*[[Historia ya Afrika]]
*[[Historia ya Ghana]]
*[[Historia ya SenegalMali]]
 
==Jisomee==
Line 95 ⟶ 106:
 
[[Jamii:Historia ya Afrika]]
[[Jamii:Biashara]]
[[Jamii:Utumwa]]