Tofauti kati ya marekesbisho "Jamhuri ya Bou Regreg"

44 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
d (Roboti: Imeondoa: fa:ابی رقراق (strongly connected to sw:Bou Regreg), en:Bou Regreg (strongly connected to sw:Bou Regreg), fr:Bouregreg (strongly connected to sw:Bou Regreg))
'''Jamhuri ya Bou Regreg''' ilikuwa dola ndogodogo katika eneo la miji [[Rabat]] na [[Sale]], [[mdomo|mdomoni]] wamwa [[mto]] [[Bou Regreg]], lililoanzishwa mwaka [[1627]].
Watawala walikuwa ma[[haramia]] waliounda serikali baada ya mwisho wa utawala wa ufalme wa [[Wasaadi]].
 
Watawala walikuwa ma[[haramia]] waliounda [[serikali]] baada ya mwisho wa utawala wa [[ufalme]] wa [[Wasaadi]].
Halmashauri ya wawakilishi ilimteua nahodha mkuu wa jahazi za haramia na pia magavana wa Rabat na Sale. Maharamia walishambulia hasa jahazi za nchi za Wakristo. Miji yote miwili ikatajirika. Majengo mengi ya kitovu cha kihistoria ya Rabat yalijengwa wakati ule.
 
Mwaka [[1668]] wenyeji walipaswa kukubali utawala wa wafalme [[Waalawi]] lakini hali halisi waliendelea kujitegemea hadi mwaka 1818.
Halmashauri ya wawakilishi ilimteua [[nahodha]] mkuu wa [[jahazi]] za haramia na pia magavana wa Rabat na Sale.
 
Halmashauri ya wawakilishi ilimteua nahodha mkuu wa jahazi za haramia na pia magavana wa Rabat na Sale. Maharamia walishambulia hasa jahazi za nchi za [[Wakristo]]. Miji yote miwili ikatajirika. Majengo mengi ya kitovu cha kihistoria ya Rabat yalijengwa wakati ule.
Mwaka [[1668]] wenyeji walipaswa kukubali utawala wa wafalme [[Waalawi]] lakini hali halisi waliendelea kujitegemea hadi mwaka [[1818]].
 
[[Category:Historia ya Moroko]]
[[Category:Uharamia]]
[[Category:Nchi yaza Kihistoriakihistoria yaza Afrika]]