Karthago : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Carthage column.JPG|thumb|300px|Maghofu ya Karthago]]
[[Picha:CarthageMapDe.png|thumb|300px|Mahali pa Karthago na eneo la mamlaka yake mnamo mwaka 264 [[KK]]]]
'''Karthago''' (kwa [[Kilatini]] ''Carthago'',; kwa [[Kigiriki]] Καρχηδών ''Karchēdōn''; katika [[lugha]] asilia ya [[Kifinisia]] ''Qart-Hadašt'', yaani "mji mpya") ilikuwa zaidi ya miaka 2000 iliyopita ulikuwa [[mji]] mkubwa katika [[Afrika ya Kaskazini]] karibu na [[Tunis]] ya leo nchini [[TunesiaTunisia]].
 
==Historia==
Karthago iliundwauliundwa mnamo [[814 KK]] na [[Wafinisia]] kutoka pwani laya [[Shamu]] na [[Lebanon]] kama [[koloni]]. IkakuaUkakua kuwa mji mkubwa kabisa katika magharibi ya [[Mediteranea]]. IlitawalaUlitawala maeneo ya pwani katika nchi za leo za [[Libya]], [[TunesiaTunisia]], [[Algeria]], [[Moroko]], [[Hispania]], [[Ureno]] na [[Ufaransa]] pamoja na visiwa vikubwa vya [[Mediteraneo]].
 
Baada ya kuvamiwa na [[Dola la Roma]] mwaka [[146 KK]] Karthago ikawaukawa mji wa Kiroma. Kati ya [[439]] hadi [[533]] ilikuwa [[mji mkuu]] wa ufalme wa [[Wavandali]] katika Afrika ya Kaskazini halafu ikarudi chini ya [[Bizanti]].
 
Kati ya miaka [[439]] hadi [[533]] ulikuwa [[mji mkuu]] wa ufalme wa [[Wavandali]] katika Afrika ya Kaskazini halafu ukarudi chini ya [[Bizanti]].
[[Waarabu]] [[Uislamu|Waislamu]] walipovamia [[Afrika ya Kaskazini]] mwaka [[647]] Karthago ilikuwa na kuta na boma imara sana ikafaulu kujitetea hadi mwaka [[698]] BK. Baada ya kuteka mji Waarabu waliamua kutumia majengo yake kama [[windo la mawe]]. Nyumba nyingi za mji wa Tunis zimejengwa na mawe ya Karthago ya zamani.
 
[[Waarabu]] [[Uislamu|Waislamu]] walipovamia [[Afrika ya Kaskazini]] mwaka [[647]] Karthago ilikuwaulikuwa na kuta na boma imara sana ikafauluukafaulu kujitetea hadi mwaka [[698]] BK. Baada ya kuteka mji Waarabu waliamua kutumia majengo yake kama [[windo la maweBK]]. Nyumba nyingi za mji wa Tunis zimejengwa na mawe ya Karthago ya zamani.
 
Baada ya kuteka mji huo Waarabu waliamua kutumia ma[[jengo]] yake kama [[chimbo la mawe]]. [[Nyumba]] nyingi za mji wa Tunis zimejengwa kwa mawe ya Karthago ya zamani.
 
[[Jamii:Historia ya Tunisia]]
[[Jamii:Nchi yaza Kihistoriakihistoria yaza Afrika]]
[[Jamii:Miji ya Dola la Roma]]
[[Jamii:Wafinisia]]