Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 40 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q431731 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
[[Picha:Flag of Tanganyika.svg|thumb|170px|right|Bendera ya Jamhuri ya Tanganyika 1961 hadi 1964]]
 
'''Tanganyika''' ni jina la kihistoria kwa ajili ya sehemu kubwa ya [[Tanzania]] ya leo, yaani ile yote isiyo chini ya [[serikali]] ya [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar|Zanzibar]]. Mara nyingi huitwa "Tanzania bara" ingawa kuna visiwa pia, hasa [[Mafia]] na [[Kilwa]].
 
Mara nyingi huitwa "Tanzania bara" ingawa ina visiwa pia, hasa [[Mafia]] na [[Kilwa]].
Tanganyika ilikuwa koloni ya [[Uingereza]] kuanzia 1919 na nchi huru kati ya 1961 hadi 1964. 1964 iliungana na Zanzibar na kuwa sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania.
 
Tanganyika ilikuwa koloni[[eneo yalindwa]] la [[Uingereza]] kuanzia [[1919]] na nchi huru kati ya [[1961]] hadi [[1964]]. 1964 iliungana na Zanzibar na kuwa sehemu ya Jamhuri ya Maungano ya Tanzania.
== Chanzo katika koloni ya Kijerumani ==
 
Maeneo yaliyoitwa baadaye "Tanganyika" yaliunganishwa mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama [[koloni]] ya [[Ujerumani]] iliyoitwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. Kabla ya kufika kwa ukoloni kulikuwa na madola madogo mbalimbali na maeneo madogo ya kikabila. Kanda la pwani pamoja na njia za misafara kuelekea [[Ziwa Tanganyika]] vilikuwa chini ya athira ya [[Usultani wa Zanzibar]].
Mwaka 1964 iliungana na Zanzibar na kuwa sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
 
== Chanzo katika koloni yala Kijerumani ==
Maeneo yaliyoitwa baadaye "Tanganyika" yaliunganishwa mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama [[koloni]] yala [[Ujerumani]] iliyoitwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. Kabla ya kufika kwa ukoloni kulikuwa na madola madogo mbalimbali na maeneo madogo ya kikabila. Kanda la pwani pamoja na njia za misafara kuelekea [[Ziwa Tanganyika]] vilikuwa chini ya athira ya [[Usultani wa Zanzibar]].
 
Tangu 1885 Karl Peters kwa niaba ya Shirika la Ukoloni wa Kijerumani (Gesellschaft für Deutsche Kolonisation) alianza kufanya mikataba na watawala wa kienyeji katika maeneo ya Usagara, Nguru, Useguha und Ukami iliyoweka msingi kwa madai yake ya kuchukua utawala mkuu wa maeneo haya. Uenezeaji wa Wajerumani uliendelea hasa baada ya kushinda upinzani katika [[vita ya Abushiri]] na vita dhidi ya Wahehe.