Tanganyika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Flag of Tanganyika (1919-1961).svg|thumb|170px|right|Bendera ya koloni ya Tanganyika.]]
[[Picha:Flag of Tanganyika.svg|thumb|170px|right|Bendera ya JamhuriTanganyika ya Tanganyikatangu 1961 hadi 1964.]]
 
'''Tanganyika''' ni jina la kihistoria kwa ajili yala sehemu kubwa ya [[Tanzania]] ya leo, yaani ile yote isiyo chini ya [[serikali]] ya [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar|Zanzibar]].
 
MaraKwa sababu za kisiasa, mara nyingi huitwa "Tanzania bara" ingawa ina [[visiwa]] pia, hasa [[Mafia]] na [[Kilwa]].
 
Tanganyika ilikuwa [[eneo lindwa]] la [[Uingereza]] kuanzia [[1919]] na nchi huru kati ya [[1961]] hadi [[1964]], mwaka wa kwanza kama [[ufalme]], halafu kama [[jamhuri]].
 
Mwaka 1964 iliungana na Zanzibar na kuwa sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
 
== Chanzo katika koloni la Kijerumani ==
Maeneo yaliyoitwa baadaye "Tanganyika" yaliunganishwa mara ya kwanza tangu mwaka 1886 kama [[koloni]] la [[Ujerumani]] iliyoitwa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]]. Kabla ya kufika kwa [[ukoloni]] kulikuwa na madola madogo mbalimbali na maeneo madogo ya kikabila. Kanda la pwani pamoja na njia za misafara kuelekea [[Ziwa Tanganyika]] vilikuwa chini ya athira ya [[Usultani wa Zanzibar]].
 
Kanda la pwani pamoja na njia za misafara kuelekea [[Ziwa Tanganyika]] vilikuwa chini ya [[athira]] ya [[Usultani wa Zanzibar]].
Tangu 1885 Karl Peters kwa niaba ya Shirika la Ukoloni wa Kijerumani (Gesellschaft für Deutsche Kolonisation) alianza kufanya mikataba na watawala wa kienyeji katika maeneo ya Usagara, Nguru, Useguha und Ukami iliyoweka msingi kwa madai yake ya kuchukua utawala mkuu wa maeneo haya. Uenezeaji wa Wajerumani uliendelea hasa baada ya kushinda upinzani katika [[vita ya Abushiri]] na vita dhidi ya Wahehe.
 
Tangu mwaka [[1885]] [[Karl Peters]], kwa niaba ya [[Shirika la Ukoloni wa Kijerumani]] (Gesellschaft für Deutsche Kolonisation) alianza kufanya mikataba na watawala wa kienyejiwenyeji katika maeneo ya [[Usagara]], [[Nguru]], [[Useguha]] undna [[Ukami]] iliyoweka msingi kwawa madai yake ya kuchukua utawala mkuu wa maeneo hayahayo. Uenezeaji wa Wajerumani uliendelea hasa baada ya kushinda upinzani katika [[vita ya Abushiri]] na vita dhidi ya Wahehe.
Koloni ile ya kijerumani ilikuwa kubwa zaidi kuliko Tanganyika ya baadaye maana ilijumlisha pia maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] pamoja na sehemu ndogo ya [[Msumbiji]].
 
Uenezeaji wa Wajerumani uliendelea hasa baada ya kushinda [[upinzani]] katika [[vita ya Abushiri]] na vita dhidi ya [[Wahehe]].
Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] (1914 - 1918) koloni hii ya Kijerumani ilitekwa na jeshi za Uingereza na [[Ubelgiji]]. [[Mkataba wa Versailles]] wa 1919 ulikuwa na kanuni za kuchukua koloni zote za Ujerumani na kuzikabidhi kwa mataifa washindi wa vita. Sehemu kubwa ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani iliwekwa chini ya utawala wa Uingereza, kasoro maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] yaliyokabidhiwa mkononi mwa Ubelgiji.
 
Koloni ilelile yala kijerumaniKijerumani ilikuwalilikuwa kubwa zaidi kuliko Tanganyika ya baadaye, maana ilijumlisha pia maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] pamoja na sehemu ndogo ya [[Msumbiji]].
 
Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] ([[1914]] - [[1918]]) koloni hilo la Kijerumani lilitekwa na ma[[jeshi]] ya Uingereza na [[Ubelgiji]].
== Tanganyika Territory ya Kiingereza baada ya kuondoka kwa Wajerumani ==
1919 sehemu kubwa ya koloni ya Kijerumani ilikabidhiwa rasmi mkononi mwa Uingereza kama [[eneo lindwa]] chini ya mamlaka ya [[Shirikisho la Mataifa]] kulingana na kifungo 22 cha mkataba wa Versailles. Mwaka 1922 Shirikisho la Mataifa lilithebitisha hatua hii na kuamua masharti ya kukabidhi.
 
Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] (1914 - 1918) koloni hii ya Kijerumani ilitekwa na jeshi za Uingereza na [[Ubelgiji]]. [[Mkataba wa Versailles]] wa mwaka 1919 ulikuwa na kanuni za kuchukua kolonimakoloni zoteyote zaya Ujerumani na kuzikabidhi kwa mataifa washindi wa vita. Sehemu kubwa ya Afrika ya Mashariki ya Kijerumani iliwekwa chini ya utawala wa Uingereza, kasoro maeneo ya [[Rwanda]] na [[Burundi]] yaliyokabidhiwa mkononimikononi mwa Ubelgiji.
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni mpya na tangu Januari 1920 wakaamua kuiita "Tanganyika Territory" kwa kutumia jina la ziwa kubwa upande wa mashariki ya eneo. <ref>[http://www.archive.org/stream/encyclopdiabri32newyrich#page/676/mode/2up/search/tanganyika Linganisha makala "Tanganyika Territory" katika Encyclopedia Britannica, 12th edition, vol 32, uk 676]</ref>
 
== Tanganyika Territory ya Kiingereza baada ya kuondoka kwa Wajerumani ==
Mwaka 1919 sehemu kubwa ya koloni yala Kijerumani ilikabidhiwa rasmi mkononimikononi mwa Uingereza kama [[eneo lindwa]] chini ya [[mamlaka]] ya [[Shirikisho la Mataifa]] kulingana na kifungo 22 cha mkataba wa Versailles. Mwaka 1922 Shirikisho la Mataifa lilithebitisha hatua hii na kuamua masharti ya kukabidhi.
 
Mwaka [[1922]] Shirikisho la Mataifa lilithibitisha hatua hiyo na kuamua ma[[sharti]] ya kukabidhi.
 
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni mpyahilo na tangu Januari [[1920]] wakaamua kuiitakuliita "Tanganyika Territory" kwa kutumia jina la [[ziwa]] kubwa upande wa mashariki ya eneo. <ref>[http://www.archive.org/stream/encyclopdiabri32newyrich#page/676/mode/2up/search/tanganyika Linganisha makala "Tanganyika Territory" katika Encyclopedia Britannica, 12th edition, vol 32, uk 676]</ref>
 
== Uhuru na Muungano na Zanzibar ==
Tanganyika imepata uhuru wake tar.tarehe 09.12.[[9 Desemba]] [[1961]] (taz.: Historia ya [[Tanzania]]).
 
Mwaka 1964 imeunganishwaimeunganika na [[Zanzibar]] kuwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
 
Leo hii neno "Tanganyika" latumiwa wakati mwingine kutaja sehemu ya Tanzania isiyo [[Zanzibar]], hasa na watu ambao hawapendi muundo wa serikali mbili tu (ile kuu na ile ya Zanzibar) ndani ya muungano na wanadai kuwa na serikali ya tatu, yaani ile ya Tanganyika.
 
==Marejeo==
<references/>
 
 
 
[[Jamii:Historia ya Tanzania]]
[[Jamii:Nchi yaza Kihistoriakihistoria yaza Afrika]]