[[Picha:TYOU&HIGANBANA.JPG|thumb|''Papilio xuthus'']]
KipepeoVipepeo wa kweli ni mduduwadudu wa oda[[nusuoda]] ya[[Glossata]]. Wana wengine wa Lepidoptera huitwa [[nondo]]. Kama ilivyo kwa wadudu wengi mzunguko wa maisha wa kipepeovipepeo nuwahuwa na sehemu nne,: yai, [[lava]] (kiwavi), pupabundo na mdudundumili kamili,([[w:imago|imago]]). spishiSpishi nyingi zaidi huruka wakati wa mchana. Rangi zao za kupendeza na miruko yao ya mbwembwe hufanya kuangalia vipepeo kuwa miongoni mwa tabia za kupendeza kwa baadhi ya watu.
Vipepeo wengi kiasili wamepitia mabadiliko makubwa. Wengine wametoka na na mabadiliko kutoka kwa wadudu kama vile mchwa. Vipepeo ni muhimu sana kwa kusaidia uchavushaji kwa binadamu, sababu zinapelekea mharibifu wa mazao hasa katika hatua ya lava ya ukuaji nao kitamaduni, vipepeo ni motifu maarufu katika sanaa ya maandishi na maonesho.
[[Picha:Mating_Common_Buckeyes.jpg|thumb|Common buckeyes wakijamiiana]]
Ni imani iliyoweleka kwamba vipepeo maisha kwa muda mdogo sana. Hata hivyo, kulingana na aina zao, vipepeo kisha kuishi kwa wiki moja mpka karibumpaka hata takriban mwaka mmoja.
Vipepeo huzaawana mavakizazi mojakimoja au zaidivizazi kadhaa kwa mwaka. Hutofautiana kutoka sehemu moja mpaka nyingine, huku maeneo ya tropiki yakionekana kuchochea uzazi kwa kiasi kikubwa.
[[Picha:Ariadne_merione_egg_sec.jpg|thumb|Yai la ''Ariadne merione'']]
Mayai ya vipepeo huwa na gamba gumu, unaloitwaliitwalo [[korioni]] ([[w:Chorion kononi(egg)|chorion]]). Gamba hili limezungukwa na waksi[[nta]] inayozuia yai visikaukelisikauke kabla ya lava hajakua vizuri. Kila yai huwa na tunau dogo, kwaajilikwa ajili ya kuruhusu manii kuingia na kurutubiha yai. Mayai ya vipepeo na nonaonondo hutofautiana sana kwa ukubwa kwenye spishi zao, lakini yote huwa ya miduara au dharadufu.
Mayai ya kipepeo hushikizwa kwenye majani kwa gunai maalumu inayokauka haraka. Inavyokauka husinyaa, hivyo kuharibu kidogo umbo la yai. Gundi hii huonekana kuwa urahisi chini ya yai. Asili ya gundi hii haijafahamika bado, hivyo utatiti unatakiwa kufanyika.
==LavaKiwavi==
[[Picha:Common_Buckeye_larva_variation,_Megan_McCarty42.JPG|thumb|Viwavi wa common buckeye]]
Lava wa vipepeo au viwavi hula majani kwa wingi, na hutumia muda wao mwingi wa siku wakitafuta chakula japokuwa asilimia kuowa ya lavaviwavi hula nyasi (majani), wachache hula wadudu. Baadhi ya lavaviwavi huishi maisha ya kutesemeana na [[sisimizi]]. Huwasiliana na sismizisisimizi kwa kutummiakutumia mitikisiko maalumu na kemikali. Sisimizi hutoa ulinzi kwa lava hawa ambao nao huwapatia mchwa utamuu wa asali.
LavaViwavi wengine pia wanauwezowana uwezo wa kuzitokeza sehemu za vichwa vyao na kuonekana kama nyoka. Pia wana madoa kama macho ya uongo kuongezea muonekano huo. Pia, huwa na uwezo wa kutoa kemikali Fulanifulani na kuitumia kama ulinzi.
==PupaBundo==
[[Picha:Chrysalis5504.jpg|thumb|bundoBundo]]
LavaKiwavi anapokuwa na kukamilika, homoni kadhaa huanza kuzalishwa wakati huu, lavakiwavi huacha kula na kuanza kutafuta sehemu ya kutulia, na maranyingimara nyingi huwa chini ya majani. Hatimaye lavakiwavi hubadirika na kuwa pupabundo, baada ya kumuangozikuambua ngozi yake kwa mara ya mwisho. PupaBundo kwa kawaida huwa hajongei, isipokuwa huweza kujitikisa/kujinyonga ny’onga na kutoa milio kadhaa kuwatishia madui.
Baadae pupabundo hukua na kupitia mabadiliko katika mfumo wa metamofosisi na kuwa kipepeo kamili.
==Kipepeo kamiliNdumili==
[[Picha:Butterfly_portrait.jpg|thumb|PortraitUso wa kipepeo]]
Katika hatua hii kipepeo huitwa pia imagondumili. Jinsi yake pia hutambulika kwa mara ya kwanza. Huwana mbawa za mbele na nyamanyuma, hukuza mbele zikiwa hazijajishikiza pamoja. Huwa na miguu sita. Kisha kutoka nje mara ya kwanza, vipepeo huanza kujifunza kuvuka, nani muda huu ambapo huwa hatari sana kwani huweza vamiwa na maadui. Zoezi hili huchukua saa 1 mpaka 3.
==Maumbile==
Vipepeo huwa na mbawamabawa nnemanne, bawa la mbele na nyuma kwa upande na kuliana kushota mwili wao umegawanyika katika sehemu kuu tatu, kichwa, kifua, na fumbatio. WanaantenaWana mbili[[kipapasio|vipapasio]] viwili, macho ya kampaundi na ulimi (mdomo) maalumu, proboscis.
==Tabia==
Vipepeo hujilisha kwa nelxta utumvu)mbochi wa mimea[[ua|maua]]. Wengine hujipatia virutubisho kutoka kwenye poleni[[mbelewele]], [[tunda|matunda]] yaliyooza, utomvu wa miti, kinyesi cha wanyama (20), miili iliyooza (21), madini yaliyozama mchangani na kwenye taka.
Vipepeo ni wachavushaji mahiri, na huweza kuleeba polenimbelewele kwa umbali mrefu, hata kilomita moja.
==Picha==
<gallery>
Macrosoma heliconiaria.jpg|Hedyloidea/Hedylidae (''Macrosoma heliconiaria'')
Image:Butterfly Luc Viatour.JPG
Silver-spotted Skipper - Hesperia comma.jpg|Hesperioidea/Hesperiidae (''Hesperia comma'')
Image:Blue morpho butterfly.jpg
Citrus Swallowtail Papilio demodocus.jpg|Papilionoidea/Papilionidae (''Papilio demodocus'')
Image: Lycaena dispar02.jpg|''Lycaena dispar'' ▼
Butterfly Luc Viatour.JPG|Papilionoidea/Lycaenidae (''Polyommatus icarus'')
Image:Schwalbenschwanz papilio machaon.jpg |''Papilio machaon''
▲Image: Lycaena dispar02.jpg| Papilionoidea/Lycaenidae (''Lycaena dispar'' )
Blue morpho butterfly.jpg|Papilionoidea/Nymphalidae (''Morpho menelaus'')
</gallery>
|