Chembeuzi X : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
Masahihisho
Mstari 1:
[[Image:Chromosome X.svg|125px|thumb|right|Scheme of the X chromatid.]]
'''Chembeuzi X''' (pia: '''kromosomu X''', kwa [[Kiingereza]] ''[[w:X- chromosome''|X chromosome]]) ni moja katika [[jozi]] la [[chembeuzi za jinsia]] za [[mnyama|wanyama]] wengi kujumuisha [[mamalia]], na kwa hivyo [[binadamu]] pia, pamoja na [[chembeuzi Y]]. Ndizo zinazosababisha [[mtu]] kuwa [[mwanamume]] au [[mwanamke]], na vilevile [[wanyama]] mbalimbali kuwa wa kiume au wa kike.
 
[[BabaMwanamke|Wanawake]] tuwana anambili za chembeuzi hiyo, lakini [[mwanamume|wanaume]] wana moja tu (pamoja na ile ya Y). naKwa hivyo [[baba]] anaweza kumrithisha mwanae, ambaye kwa njia hiyo atakuwa wa kike kwa kuwa [[mama]] ana jozi la chembeuzi X asiweze kurithisha chembeuzi Y inayomfanya mtoto kuwa wa kiume.
 
Inabeba [[jeni]] 2,000 hivi kati ya 20,000-25,000 za [[binadamu]].