Chembeuzi X : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
dNo edit summary
Mstari 1:
[[Image:Chromosome X.svg|125px|thumb|right|Scheme of the X chromatid.]]
'''Chembeuzi X''' (pia: '''kromosomu X''', kwa [[Kiingereza]] ''[[w:X chromosome|X chromosome]]'') ni moja katika [[jozi]] la [[chembeuzi za jinsia]] za [[mnyama|wanyama]] wengi kujumuisha [[mamalia]], na kwa hivyo [[binadamu]] pia, pamoja na [[chembeuzi Y]]. Ndizo zinazosababisha [[mtu]] kuwa [[mwanamume]] au [[mwanamke]], na vilevile [[wanyama]] mbalimbali kuwa wa kiume au wa kike.
 
[[Mwanamke|Wanawake]] wana mbili za chembeuzi hiyo, lakini [[mwanamume|wanaume]] wana moja tu pamoja na ile ya Y. Kwa hivyo [[baba]] anaweza kumrithisha mwanae, ambaye kwa njia hiyo atakuwa wa kike kwa kuwa [[mama]] ana jozi la chembeuzi X asiweze kurithisha chembeuzi Y inayomfanya mtoto kuwa wa kiume.