Kongoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Ongeza elezo la nusuoda.
Upi Huo Bwana
Mstari 17:
| jenasi = ''[[Alcelaphus]]'' <small>(Kongoni)</small>
| bingwa_wa_jenasi = [[Henri Marie Ducrotay de Blainville|de Blainville]], 1816
| subdivi
| subdivision = Spishi 3:
:''[[Alcelaphus buselaphus|A. buselaphus]]'' <small>[[Peter Simon Pallas|Pallas]], 1766</small>
:''[[Alcelaphus caama|A. caama]]'' <small>([[Étienne Geoffroy Saint-Hilaire|Geoffroy Saint-Hilaire]], 1803)</small>
:''[[Alcelaphus lichtensteinii|A. lichtensteinii]]'' <small>[[Wilhelm Peters|Peters]], 1849</small>
}}
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
 
'''Kongoni''' ni [[mnyama|wanyamapori]] wakubwa wa [[jenasi]] ''[[Alcelaphus]]'' katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Bovidae]]. Kwa asili jina hili lilitumika kwa [[nususpishi]] ''A. buselaphus cokii'' lakini siku hizi [[spishi]] na nususpishi zote za ''Alcelaphus'' huitwa kongoni. Wanatokea [[savana]] za [[Afrika]] tu. Rangi yao ni ya mchanga lakini tumbo na matako ni nyeupe. Wana kichwa kirefu na pembe zao zimepindika na zina umbo wa [[zeze]] zikionwa kutoka mbele. Wanyama hawa hula [[nyasi|manyasi]].
 
==Spishi==
* ''Alcelaphus buselaphus'', [[Kongoni Mashariki]] ([[w:Hartebeest|Hartebeest]])
* ''Alcelaphus caama'', [[Kongoni Mwekundu]] ([[w:Red Hartebeest|Red Hartebeest]])
* ''Alcelaphus lichtensteinii'', [[Kongoni wa Lichtenstein]] au Konzi ([[w:Lichtenstein's Hartebeest|Lichtenstein's Hartebeest]])
 
==Picha==
<gallery>
File:Alcelaphus caama.jpg|Kongoni mwekundu
File:Lichtenstein's Hartebeest.jpg|Kongoni wa Lichtenstein
</gallery>
 
{{mbegu-mnyama}}
{{Artiodactyla|R.2}}
 
[[Jamii:Ng'ombe na jamaa]]
[[Jamii:Wanyama wa Afrika]]
 
[[it:Alcelaphus buselaphus]]