Mana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Fumbuzi za kisayansi
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Tissot The Gathering of the Manna (color).jpg|thumb|250px|Mana ikikusanywa kadiri ya [[mchoraji]] [[James Tissot]].]]
'''Mana''' (kwa [[Kiebrania]] מָ‏ן) ni [[chakula]] kilichotumiwa na [[Waisraeli]] walipotangatanga katika [[jangwa]] la [[Sinai]] miaka 40 mfululizo baada ya kutolewa na [[Musa]] nchini [[Misri]] walipokuwa wananyanyaswa.
 
Habari hizo zinapatikana katika vitabu vingi vya [[Biblia]] (hasa [[Kutoka (Biblia)|Kutoka]] 16:1-36 na [[Hesabu (Biblia)|Hesabu]] 11:1-9) na vilevile katika [[Kurani]] 5:27.
 
Pamoja na maelezo mbalimbali yaliyotolewa na [[wataalamu]] kuhusu [[asili]] ya chakula hicho, kwa [[imani]] kilitazamwa kama [[ishara]] ya pekee ya [[Mungu]] kuwashughulikia watu wake.
 
[[Yesu]] alikitumia hicho pia kujitambulisha ni nani kwetukwa [[binadamu]] wote: "Mimi ndimi chakula cha kweli kilichoshuka kutoka mbinguni" ([[Yoh]] 6).
 
==Fumbuzi za kisayansi==
[[Wanasayansi]] wamejaribu kufumbua kitu hicho cha mana. [[Ufumbuzi]] mmoja ni kwamba mana ni [[sandarusi]] ya [[mchamwino]], [[mti]] unaomea sana katika [[Rasi ya Sinai]]. Sandarusi hii ni tamu na ikiwa imekauka ina [[rangi]] ya [[hudhurungi]].
 
Ufumbuzi mwingine ni kwamba mana ni [[mchozo]] wa [[wadudu]] kama [[kidukari|vidukari]] na [[mdudu-gamba|wadudu-gamba]], k.m. mdudu-gamba wa mchamwino (''Trabutina mannipara''). Katika [[hali ya hewa]] moto na kavu ya Rasi ya Sinai mchozo huuhuo hukauka haraka. [[Fuwele]] za mchozo huo ni tamu na zina rangi ya [[manjano]] au hudhurungi. Mara nyingi michozo kama huo huitwa [[mana (mchozo)|mana]] pia.
 
==Tanbihi==
Mstari 31:
{{mbegu-Biblia}}
 
[[Jamii:Chakula]]
[[Category:Ekaristi]]