Dubai : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 109 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q613 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Dubai''' (kwa [[Kiarabu]]: دبيّ) ni [[ufalme]] katika [[Shirikisho]] la [[Falme za Kiarabu]] kwenye [[rasi ya Uarabuni]] na pia [[jina]] la [[mji mkuu]] wa ufalme huuhuo.
 
[[Amiri]] wa Dubai, ambaye ni pia Makamu wa Rais wa shirikisho, ni [[Mohammed bin Rashid Al Maktoum]].
 
Dubai ni ufalme mkubwa wa pili katika shirikisho hilo baada ya [[Abu Dhabi]]. Iko kwenye mwambao wa [[Ghuba ya Uajemi]] kati ya [[Sharjah]] na Abu Dhabi. Kuna mji wa pili ni [[Hatta (Dubai)|Hatta]] mpakani na [[Oman]].
 
Iko kwenye [[mwambao]] wa [[Ghuba ya Uajemi]] kati ya [[Sharjah]] na Abu Dhabi.
Jiji la Dubai ilikuwa mji mdogo mwenye wakazi 20,000 hadi [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Leo hii kuna wakazi zaidi ya 1,200,000. Nyumba zote za Dubai ni mpya.
 
[[Mji]] wa pili ni [[Hatta (Dubai)|Hatta]] mpakani kwa [[Oman]].
Kukua kwa Dubai kulianzishwa kutokana na mapato ya [[mafuta ya petroli]]. Lakini akiba za mafuta si kubwa kama kwa majirani yake. Mapato ya mafuta ni 6% pekee za pato la taifa. Viongozi wa Dubai walifaulu kuweka msingi mpya wa biashara na utalii.
 
[[Jiji]] la Dubai ilikuwalilikuwa mji mdogo mwenyewenye wakazi 20,000 tu hadi [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Leo hii kuna wakazi zaidi ya 1,200,000. [[Nyumba]] zote za Dubai ni mpya.
 
Kukua kwa Dubai kulianzishwa kutokana na mapatoma[[pato]] ya [[mafuta ya petroli]]. Lakini [[akiba]] za [[mafuta]] hayo si kubwa kama kwa majirani yake. Mapato ya mafuta ni 6% pekee za pato la taifa. Viongozi wa Dubai walifaulu kuweka msingi mpya wa biashara na utalii.
 
Viongozi wa Dubai wamefaulu kuweka msingi mpya wa [[uchumi]] katika [[biashara]] na [[utalii]].
 
== Viungo vya nje ==
* {{en}} {{ar}} [http://www.dubai.ae/en.portal Tovuti rasmi]
 
[[Jamii:Miji ya Falme za Kiarabu]]
[[Jamii:Dubai| ]]
 
[[pl:Dubaj]]