Figo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kidney section.jpg|thumb|right|KidneyFigo fromkatika ''Gray's Anatomy''.]]
'''Figo''' ni [[kiungo]] cha [[mwili]] ambacho kazi yake ni cha kutatanisha: mafigo yanafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa [[binadamu]]. Ila kazi yake ya juu ni ya kusawazisha [[maji]] ndani ya mwili kwa kuchuja na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchuja hizo, pamoja na maji na [[mkojo]].
 
'''Figo''' ni kiungo cha mwili ambacho kazi yake ni cha kutatanisha, figo zinafanya kazi mbalimbali muhimu katika mwili wa binadamu. Ila kazi yao ya juu ni ya kusawazisha maji ndani ya mwili kwa kuchujia na kusitiri bidhaa za chembechembe (kama vile [[urea]]) na [[minerali]] katika [[damu]] na kuchujia hizo, pamoja na maji na [[mkojo]]. Kwa maana figomafigo zimeumbwayameumbwa kuhisi ukolezi wa [[plazma]] ya ions kama vile [[sodiamu]], [[potasiamu]], [[hidrojeni]], [[oksijeni]] ([[hewa]]) na msombo kama vile [[asidi amino acids]], creatinine, bicarbonate na [[glukosi]], mafigo yanasawazisha [[shinikizo la damu ]], hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erthropoiesis (yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza [[selidamu nyekundinyekundu]]). Sayansi ichunguzayo figo na maradhi ya figo inaitwa nefrolojia. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa lugha ya kigiriki ya zamani, "nefros (νεφρός)", kitambulishi "-a figo", maana yake kuchujia kumetoka kwa Kilatin ''rēnēs'' kumaanisha mafigo.
 
[[Sayansi]] ichunguzayo mafigo na [[maradhi ya figo]] inaitwa [[nefrolojia]]. Kiambishi awali, "nefro-" imaanishayo figo imetoka kwa [[lugha]] ya [[Kigiriki cha kale]], "nefros (νεφρός)", kitambulishi "-a figo", maana yake kuchujia kumetoka kwa [[Kilatini]] ''rēnēs'' kumaanisha mafigo.
== Muundo wa figo wa kibinadamu ==
 
Figo zipo nyuma ya utambi na kipimo chake ni sentimeta 9 mpaka 13 kwa kipenyo, kipimo cha figo ya kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba T12 na L3. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na ubavu wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na tezi ya adrenali zimefunikwa na ngozi mbili zenye mafuta na renal fascia inayosaidia kuimarisha figo. Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa Kingereza), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo yoyote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.
== Muundo wa figomafigo waya kibinadamubinadamu ==
FigoMafigo zipoyapo nyuma ya [[utambi]] na [[kipimo]] chake ni [[sentimeta]] 9 mpaka 13 kwa [[kipenyo]], [[kipimo]] cha figo yala kushoto ni kikubwa zaidi kidogo kuliko cha la kulia. Yapo kwenye ukolezi wa mwiba T12 na L3. Upande wa sehemu za juu ya figo zimehifadhiwa na [[ubavu]] wa kumi na moja na wa kumi na mbili, katika kila figo pamoja na [[tezi ya adrenali]] zimefunikwa na [[ngozi]] mbili zenye [[mafuta]] na renal fascia inayosaidia kuimarisha figo. Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa Kingereza), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo yoyote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.
 
Watu wachache wamezaliwa na figo moja tu, hawa hujulikana kama unilateral agenesis (kwa [[Kiingereza]]), pia kuna watu wachache waliozaliwa bila figo lolote, hali hiyo inajulikana kama bilateral agenesis.
 
FigoMafigo zinapatayanapata [[damu chafu]] kwenye [[mkole wa tumbo]] ambayo imegawika katika matawi mawili, [[ateri]] moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha [[damu]] ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye [[vena]] ya [[damu safi]], inayoelekea kwa [[vena kava]] ya chini ya kuendelea mpaka moyoni[[moyo]]ni. Damu safi inakadiri [[asimilia]] 20-25% yaza uzalishaji wa moyo (cardiac out put).
 
Figo zinapata damu chafu kwenye mkole wa tumbo ambayo imegawika katika matawi mawili, ateri moja kwa upande wa kulia na nyingine kwa upande wa kushoto. Kisha damu ambayo imeshakwisha kuchujika inarudia tena kwenye vena ya damu safi, inayoelekea kwa vena kava ya chini ya kuendelea mpaka moyoni. Damu safi inakadiri asimilia 20-25% ya uzalishaji wa moyo (cardiac out put).
{{mbegu-anatomia}}