Biashara ya utumwa kupitia Atlantiki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 2:
'''Biashara ya utumwa kupitia Atlantiki''' (vilevile: '''Biashara ya utumwa ya pembetatu''' au '''Biashara ya utumwa ya ng'ambo ya Atlantiki''') ni jina la kutaja aina ya [[biashara]] ambayo ilikuwa ikifanyika baina ya [[Bara|mabara]] matatu, yaani, [[Afrika]] (upande wa [[magharibi]]), [[Amerika]] na [[Ulaya]] (hasa katika pande za magharibi mwa Ulaya).
 
Biashara ilihusisha hasa [[wafanyabiashara]] kutoka Ulaya ambao walikuja na [[bidhaa]] za [[viwanda]]ni na kuvibadilisha na [[watumwa]] na vitu vya thamani kubwa barani Afrika kama vile [[dhahabu]], [[almasi]], [[fedha]] na kadhalika ambapo wao walichukua watumwa na bidhaa nyingine na kwenda nazo Amerika.
 
Wakiwa huko, watumwa walizalisha [[malighafi]] za [[kilimo]] na [[madini]] ambapo [[Wazungu]] walizichukua na kuzipeleka Ulaya kwa ajili ya kutengenezea bidhaa nyingine.
Mstari 47:
Biashara ya Pembetatu ilichochea mno utenganisho wa [[familia]] hasa kwa kufuatia kuchukua Waafrika kama watumwa na kuwapeleka Amerika na Indi-za-Magharibi.
===Ilipelekea kuanguka kwa Biashara ya Ng'ambo ya Sahara===
Biashara ilichangia mazima kuanguka kwa [[Biashara ya Ng'ambo ya Sahara]]. Mwishoni mwa [[karne ya 15]]], Biashara ya Ng'ambo ya Sahara ilishindwa kabisa kuendelea hasa kwa kuibuka kwa Biashara ya Pembetatu.
===Utumwa uliochochewa na biashara utumwa===
Biashara pia ilichochea (kufanya watu wapende biashara ya kuuza wenzao) vilivyo huko Afrika hasa katika upande wa Afrika Magharibi. Viongozi wengi wa Kiafrika walijihusisha vilivyo katika kununua na kuuza watumwa katika [[kanda]] hiyo.
Mstari 53:
Biashara ya Pembetatu ilipelekea kuanguka kwa baadhi ya falme/dola huko Afrika Magharibi hasa zile ambazo zilitegemea kuuza bidhaa na si watumwa kwa Wazungu. Baadhi ya hizo dola ni pamoja na [[Dola la Ghana], [[Dola la Mali]] na [[Dola la Songhai]] na mengine mengi.
===Kuibuka kwa baadhi ya baadhi ya madola===
Biashara ilipelekea kukua kwa baadhi ya madola hasa yale yaliyokuwa yanategemea kuuza na kununua watumwa kama vile [[Tokolar]], [[Ife]], [[Dahomey[[]] na kadhalika.
===Maendeleo duni===
Kiujumla biashara ilichochea kufifisha [[maendeleo]] ya Afrika katika nyanya zote ikiwa ki[[jamii]], ki[[siasa]] na kiuchumi.
Mstari 70:
* [http://www.slavevoyages.org The Transatlantic Slave Trade Database], a portal to data concerning the history of the triangular trade of transatlantic slave trade voyages.
* [http://www.brown.edu/Research/Slavery_Justice/documents/SlaveryAndJustice.pdf Report of the Brown University Steering Committee on Slavery and Justice]
 
{{mbegu-historia}}
 
[[Jamii:Historia ya Afrika]]
[[Jamii:Historia ya Amerika]]
[[Jamii:Biashara]]
[[Jamii:Utumwa]]