Michezo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:20071103 Khalid Khannouchi.jpg|thumb|200px|Mashindano ya mbio]]
'''Michezo''' ni [[amali]] au ma[[zoezi]] ya kimwiliki[[mwili]] ambayo mara nyingi yana upande wa mashindano[[ushindani]] ndani yaoyake. Yanatendeka kufuatana na kawaida na taratibu maalumu zilizokubaliwa kati ya wachezaji au katika [[jamii]]. Kuna pia michezo inayotumia vifaa kama vile [[mpira]], [[silaha]], [[baisikeli]], ma[[boti]] n.k.
 
Kuna pia michezo inayotumia vifaa kama vile [[mpira]], [[silaha]], [[baisikeli]], ma[[boti]] n.k.
Mifano ya michezo ni [[mpira wa miguu]], aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea na kadhalika. Michezo mingi hutekelezwa kama mashindano ya makundi. Aina nyingine ni mashindano ya watu mmojammoja.
 
Mifano maarufu ya michezo ni [[mpira wa miguu]], aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea na kadhalika.
Watu wengi hupenda kutazama mashindano ya michezo. [[Tabia]] hii imekuwa msingi kwa wachezaji wanaotekeleza michezo yao kikazi na kwa malipo.
 
Mifano ya michezo ni [[mpira wa miguu]], aina za [[mbio]], mashindano ya kuogelea na kadhalika. Michezo mingi hutekelezwa kama mashindano ya makundi. Aina nyingine ni mashindano ya watu mmojammoja.
 
Watu wengi hupenda kutazama mashindano ya michezo. [[Tabia]] hii imekuwa msingi kwa wachezaji wanaotekeleza michezo yao si kwa kujiburudisha, bali kikazi na kwa [[malipo]].
 
Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya jamii, ma[[kabila]] au ma[[taifa]]. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni [[Michezo ya Olimpiki]] iliyofanyika awali [[Ugiriki wa Kale]] na sasa inafanyika kwa ushiriki wa mataifa yote duniani kila baada ya miaka minne.
 
Tangu kale watu wamekutana kwa mashindano makubwa ya michezo kati ya jamii, ma[[kabila]] au ma[[taifa]]. Kati ya mashindano mashuhuri hasa ni [[Michezo ya Olimpiki]].
{{michezo}}
 
[[Jamii:Michezo|*]]