Bara Hindi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q60140 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:India 78.40398E 20.74980N.jpg|thumb|350px|Bara Hindi inavyoonekana kutoka angani[[anga]]ni.]]
'''Bara Hindi''' ni eneo kubwa yala [[Asia]] upande wa [[kusini]] yakwa [[milima]] ya [[Himalaya]] lenye [[kilomita za mraba]] [[milioni]] 4.5.

Inaingia ndani ya [[bahari Hindi]] kama [[rasi]] kubwa sana lenye [[umbo]] la [[pembetatu]].
 
== Nchi za Bara Hindi ==
Line 7 ⟶ 9:
* [[Pakistan]]
* [[Bangladesh]]
* [[Nepal]]
* [[Bhutan]]
 
Pia kuna nchi zifuatazo katika [[visiwa]] vya jirani:
* [[Maldivi]]
* [[Nepal]]
* [[Sri Lanka]]
 
== Jiografia ==
KijiografiaKi[[jiografia]] kuna sehemu tatu za:
* maeneo ya [[Himalaya]] ([[kaskazini]] yamwa Uhindi na mwa Pakistan, Nepal, Bhutan)
* rasi ya Uhindi
* maeneo ya visiwa vya Bahari Hindi (Sri Lanka, Maldivi)
KijiolojiaKi[[jiolojia]] Bara Hindi si sehemu ya Asia. Inakaa juu ya [[Bamba la Uhindi]] ambalo ni [[bamba la gandunia]] lililokuwa kama [[kisiwa]] kikubwa ndani ya Bahari Hindi hadi kujisukuma dhidi ya [[Bamba la Asia]] takriban miaka milioni 10 iliyopita. [[Mshtuko]] wa [[mgongano]] huu ulisababisha kukunja kwa [[ganda la dunia]] na kutokea kwa nyororo za milima ya [[Himalaya]] ambayo inazidi kurefuka kidogokidogo kila mwaka.
 
{{mbegu-jio-Asia}}
 
[[Jamii:Bara]]