Tofauti kati ya marekesbisho "Kihispania"

96 bytes added ,  miaka 6 iliyopita
no edit summary
'''Kihispania''' ('''"Español"''') ni [[lugha ya kimatifa]] ambachoambayo ni [[lugha ya kwanza]] kwa watu [[milioni]] 500; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama [[lugha ya pili]] kuna milioni 600 duniani wanaosema Kihispania.
 
Asili ya [[lugha]] hiyo ni katika nchi ya [[Hispania]] ([[Ulaya]]), lakini kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] na ya [[biashara]] lugha imesambaa sana, hasa [[Amerika ya Kusini]].
 
== Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi ==
* [[Visiwa vya Kanari]]
 
== Nchi penyezenye wasemaji wengi wa Kihispania ==
* Nchini [[Marekani]] Kihispania ni lugha ya pili baada ya [[Kiingereza]] hasa katika majimbo ya Kusini zilizikuwazilizokuwa zamani sehemu za Mexiko.
* [[Ufilipino]] kwa sababu ilikuwa koloni yala Hispania
 
== Historia ya lugha ==
Asili ya Kihispania ni lugha ya [[Kilatini]] ya [[Waroma wa Kale]]. Kati ya [[lugha za Kirumi]] KishispaniaKihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa [[Kiitalia]].
 
[[Picha:Map-Hispano.png|600px|]]
 
[[Jamii:Lugha za Kirumi]]
[[Jamii:Hispania]]