Kihispania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map-Hispano.png|600px|]]
'''Kihispania''' ('''"Español"''') ni [[lugha ya kimatifakimataifa]] ambayo ni [[lugha ya kwanza]] kwa watu [[milioni]] 500; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama [[lugha ya pili]] kuna milioni 600 duniani wanaosema Kihispania.
 
== Historia ya lugha ==
Asili ya [[lugha]] hiyo ni katika nchi ya [[Hispania]] ([[Ulaya]]), lakini kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] na ya [[biashara]] lugha imesambaa sana, hasa [[Amerika ya Kusini]].
 
Lugha iliyozaa Kihispania ni [[Kilatini]] cha [[Waroma wa Kale]] waliotawala kwa muda mrefu Hispania.
 
Asili ya Kihispania ni lugha ya [[Kilatini]] ya [[Waroma wa Kale]]. Kati ya [[lugha za Kirumi]] Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa [[Kiitalia]].
 
== Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi ==
Line 36 ⟶ 42:
* [[Ufilipino]] kwa sababu ilikuwa koloni la Hispania
 
== Historia ya lugha ==
Asili ya Kihispania ni lugha ya [[Kilatini]] ya [[Waroma wa Kale]]. Kati ya [[lugha za Kirumi]] Kihispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale, isipokuwa [[Kiitalia]].
 
[[Picha:Map-Hispano.png|600px|]]
== Viungo vya nje ==
*[http://www.language-archives.org/language/spa makala za OLAC kuhusu Kihispania]