Kihispania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Map-Hispano.png|600px|thumb|right|Kihispania duniani leo.]]
'''Kihispania''' ('''"Español"''') ni [[lugha ya kimataifa]] ambayo ni [[lugha ya kwanza]] kwa watu [[milioni]] 500; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama [[lugha ya pili]] kuna milioni 600 duniani wanaosema Kihispania.
 
== Historia ya lugha ==
Asili ya [[lugha]] hiyo ni katika nchi ya [[Hispania]] ([[Ulaya]] kusini magharibi), lakini kutokana na [[historia]] ya [[ukoloni]] na ya [[biashara]] lugha imesambaa sana, hasa [[Amerika ya Kusini]].
 
Lugha iliyozaa Kihispania ni [[Kilatini]] cha [[Waroma wa Kale]] waliotawala kwa muda mrefu Hispania.
Mstari 13:
* [[Costa Rica]]
* [[Cuba]]
* and [[El Salvador]]
* [[Jamhuri ya Dominika]]
* [[Guatemala]]
Line 20 ⟶ 21:
* [[Panama]]
* [[Puerto Rico]]
* and [[El Salvador]]
 
=== [[Amerika ya Kusini]] ===