Uzoroasta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Uzoroastro hadi Uzoroasta
taz majadiliano
Mstari 1:
'''UzoroastroUzoroasta''' ni [[dini]] na [[falsafa]] inayopata jina lake kutoka [[nabii]] wake [[ZoroasterZoroasta]] au [[Zarathustra]], ambayo iliathiri [[imani]] ya [[Uyahudi]] na ya dini zilizotokana na Uyahudi.
 
WazoroastroWazoroasta wanaamini katika [[ulimwengu]] na [[Mungu]] apitaye [[fikira]], [[Ahura Mazda]], ambaye [[ibada]] zote zinaelekezwa kwake.
 
[[Kiumbe]] cha AzhuraAhura Mazda ni asha, [[ukweli]] na [[mpango]], ambaye anazozana na kinyume chake, druj, [[uongo]] na [[machafuko]].
 
Kwa sababu [[binadamu]] ana [[hiari]], watu lazima wawe na [[uwajibikaji]] kwa [[maadili]] wanayoyachagua. Kwa kutumia hiari, watu lazima wawe na [[jukumu]] tendaji katika [[mgogoro]] wa [[dunia]] nzima, na mawazo mema, maneno mema na matendo mema ili kuhakikisha [[furaha]] na kuepuka machafuko.