Sopa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ sensa 2012
No edit summary
Mstari 24:
 
==Historia==
Sopa , ni neno lililotokana na njia, njia ambayo Wajerumani walikuwa wakiitumia katika misafara yao, njia ilikuwa ikikatisha pembezoni mwa kijiji,iliyokuwa ikitokea Lusaka,kupita Tatanda na kukatisha Sopa kuelekea Kasanga [Tanganyika[Kasanga]].
 
Njia hiyo iliweza kutumiwa na wakazi tofauti ,awali ya yote kijiji kiliitwa SOTE, baada ya kuzoeleka na wakazi au Wajerumani ndipo kijiji kuitwa sopa. Wajerumani walizoea kuitumia njia na kuweza kuipamba kwa jina la Sopa, Wajerumani waliitumia njia hiyo katika karne ya 18, baada ya hapo ndio kijiji hicho kuitwa sopa.