Mkoa wa Katavi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 51:
 
== Wakazi ==
Katika sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi ilihesabiwa kuwa 564,604. <ref><nowiki>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Katavi]</nowiki></ref>
 
[[Kabila]] kubwa ni lile la [[Wafipa]]pia kuna wabendeWabende,wapimbweWapimbwe na wakonongoWakonongo na [[dini]] yao kwa kiasi kikubwa sana ni [[Ukristo]] wa [[madhehebu]] ya [[Kanisa Katoliki]].
 
==Utamaduni==
Ni kweli hiloWafipa ndiloni kabila kubwa lakini kuna jamii ya kabila la Wapimbwe ambalo linapatikana katika maeneo ya Tarafa ya Mpimbwe ambalo kwa kiasi kikubwa ndio hasa wenyeji wa mkoa huu mpya wa Katavi ambalo kwa asili linapatikana katika vijiji vya Mamba, Mpimbwe na Majimoto. Kama utafuatilia vizuri katika kijiji cha Mamba kuna kivutio kizuri ambapo kubwa bwawa la asili la maji ya moto na hayapoi muda wote ni ya moto iwe mchana au usiku. Kiukweli mimi mwenyewe nina asli ya mpimbwe lakini sema mizunguko ya maisha. Kabila lingine ni wakonongo ambao nao wanatokea mkoa huu mpya.
 
Kabila lingine ni Wakonongo ambao nao wanatokea mkoa huu mpya.
 
Pia aidhankuna sehemu za mkoa huu ni wa kihistoria katika baadhi ya maaneo. mfanoMfano mtaa wa Madukani ambao walikua wakiishi Wahindi na Waarabu Wawa Oman kama Mzee Yusuf Al Salmi.
 
==Marejeo==
<references/>
 
== Viungo vya nje ==
Line 65 ⟶ 73:
[[Jamii:Mikoa ya Tanzania|M]]
[[Jamii:Mkoa wa Katavi| ]]
 
 
Pia aidhan mkoa huu ni wa kihistoria katika baadhi ya maaneo. mfano mtaa wa Madukani ambao walikua wakiishi Wahindi na Waarabu Wa Oman kama Mzee Yusuf Al Salmi.