Mfereji wa Mariana : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: right|300px|thumb|Ramani ya eneo la mfereji wa Mariana '''Mfereji wa Mariana''' ni sehemu ya chini kabisa kwenye uso wa dunia yetu. Ni mfereji wa [[Bahari ya...
 
Mfereji wa Mariana
Mstari 1:
[[Image:Marianatrenchmap.png|right|300px|thumb|Ramani ya eneo la mfereji wa Mariana]]
'''Mfereji wa Mariana''' ni sehemu ya chini kabisa kwenye uso wa dunia yetu. Ni mfereji wa [[Bahari ya Pasifiki]] ambako kina yacha maji hufikia mita 10,293 kutoka uso wa bahari hadi msingi wake. Mifereji kwenye misingi ya bahari hulinganishwa pia na mabonde makali au korongo chini ya maji.
 
Mfereji huu uko kando laya [[Visiwa vya Mariana]] karibu na [[Guam]]. Ni mahali ambako [[bamba la Pasifiki]] hujisukuma chini ya [[Bamba la Ufilipino]].
 
Sehemu ya chini kabisa ilifikiwa katika historia mara mbili na nyambizi za kisayansi. Mara ya kwanza ilikuwa safari ya chombo cha [[nyambizi Trieste|''Trieste'']] cha mchunguzi wa bahari [[Auguste Piccard]] tar. [[23 Januari]] [[1960]] na 1995 ''[[Kaiko]]'' kutoka Japani.