Kamerun : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 66:
Mwaka wa [[1960]], [[Ufaransa|Wafaransa]] waliacha '''Kamerun''' ikawa nchi huru, na kuungana na sehemu ya kusini ya [[Kamerun ya Kiingereza]] mwaka [[1961]] kuunda ''Shirikisho la Jamhuri ya Kamerun''.
 
Baadaye jina likabadilishwa kuwa ''Jamhuri ya Muungano ya Kamerun'' mwaka wa [[1972]], halafu tena ''Jamhuri ya Kamerun'' (kwa [[Kifaransa]] ''République du Cameroun'') mwaka wa [[1984]].
 
== Siasa ==
Mstari 74:
== Eneo kiutawala ==
{{main|Mikoa ya Kamerun|Wilaya za Kamerun}}
 
Kamerun imegawiwa katika mikoa 10 na [[wilaya]] (''départements'') 58.
 
[[Mikoa ya Kamerun|Mikoa]] ni:
*[[Mkoa wa Adamawa , Kamerun|Mkoa wa Adamawa]],
*[[Mkoa wa Kati, Kamerun|Mkoa wa kati]],
*[[Mkoa wa Mashariki, CameroonKamerun|Mkoa wa mashariki]],
*[[Mkoa wa kaskazini Zaidi, kamerunKamerun|Mkoa wa kaskazini Zaidi]],
*[[Mkoa wa Littoral, Kamerun|Mkoa wa Littoral]],
*[[Mkoa wa Kaskazini, Kamerun|Mkoa wa Kaskazini]],
*[[Mkoa wa kaska-Magharibi, Kamerun|Mkoa wa Kaska-magharibi]],
*[[Mkoa wa Magharibi, kamerunKamerun|Mkoa wa Magharibi]],
*[[Mkoa wa Kuskini, kamerunKamerun|Mkoa wa Kusini]], na
*[[Mkoa wa Kusini-Magharibi, Kamerun|Mkoa wa Kusini-magharibi]].
 
Line 110 ⟶ 109:
[[Picha:Bamun sultan palace.jpg|thumb|Ikulu ya [[sultani]] wa [[Bamun]] kwa [[Foumban]], Mkoa wa Magharibi]]
{{main|Watu wa Kamerun}}
Wakazi walikuwa 22,534,532 mwaka [[2013]], ambao wamegawanyika sawasawa kati ya wanaoishi mijini na wale wa vijijini.
 
[[Lugha rasmi]] ni [[Kifaransa]] pamoja na [[Kiingereza]].
 
Upande wa [[dini]], 70% ni [[Wakristo]] (40% [[Wakatoliki]] na 30% [[Waprotestanti]]), 18% ni [[Waislamu]], 3% ni wafuasi wa [[dini asilia za Kiafrika]]. 6% hawana dini yoyote.
 
== Utamaduni ==