Jamhuri ya Kongo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q971 (translate me)
No edit summary
Mstari 44:
|}
 
'''Jamhuri ya Kongo''' ni nchi ya [[Afrika ya Kati]]. Imejulikana pia kama [[Kongo-Brazzaville]] (kutokana na [[mji mkuu]]) kwa kusudi la kutochanganywakutoichanganywa na nchi jirani ya [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]].
 
Jamhuri ya Kongo imepakana na [[Gabon]], [[Kamerun]], [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Angola]] na [[Bahari ya Atlantiki]].
Nchi ilikuwa [[koloni]] yala [[Ufaransa]] hadi mwaka [[1960]].
 
Wakazi wengi wanaishi mijini upande wa kusini wa nchi. Nchi ina [[lugha]] 62 tofauti, zikiwemo [[lugha ya taifa|lugha 2 za taifa]]: [[Kingala]] na [[Kikongo]] ([[Kituba]]). Hata hivyo [[lugha rasmi]] ni [[Kifaransa]].
 
Wakazi wengi ni [[Wakristo]], wakiwemo [[Waprotestanti]] na [[Wakatoliki]]
 
== Tazama pia ==
Line 60 ⟶ 64:
* [http://www.congo-site.com/ Congo-Site Portail {{fr}}]
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
{{Afrika}}
{{African Union}}
{{mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Jamhuri ya Kongo|*]]
[[Jamii:Nchi za Afrika]]
[[Jamii:Umoja wa Afrika]]
[[Jamii:Nchi zinazotumia lugha ya Kifaransa]]