Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 40:
Salamu je uko Afrika ya Mashariki? Kuna mipango ya mkutano wa TZ/Kenya. Kama unaishi hapa usome [[Majadiliano_ya_Wikipedia:Wakabidhi#Mawasiliano_na_ofisi_ya_WMF_-_Wikimedia_Foundation_.2F_Asaf_Bartov]]
'''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 10:03, 3 Desemba 2014 (UTC)
 
 
==Tafadhali uangalie jamii kuhusu mfumo wa kuanzisha makala==
Mpendwa, nakuomba kuaangalia [https://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Jumuia#Kura_juu_ya_utaratibu_wa_kuanzisha_makala_mapya_.28.22Community_request_to_disable_article_page_creation_by_anonymous.2FIP_editors.22_.29 ukurasa wa Jumuiya]. Tuliomba wikimedia ya kutpa mfumo wa kuzuia watumiaji wasiojiandikisha wasianzise makala mapya. Kusudi lilikuwa kupunguza idadi ya makala mabaya yasiyotosheleza masharti ya wikipedia ilhali tuko wachache mno kuziangalia. Wikipedia kubwa kadhaa zinatumia utaratibu huu (kama en:wikipedia) lakini sisi tunapaswa kupeleka ombi kwa kamati fulani. Kamati hii wametupa nafasi kwa kipindi ha miezi 6 tu inayokwisha karibuni. Sasa wanakamati wamekuja wanadai tujieleza au watarudisha mfumo huu nyuma. Mimi nikiwa 1 kati ya wachache wanaochugulia makala mapya naona itaturudisha nyuma. Naomba mchangie! Sanaaaaa!! '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 23:36, 10 Septemba 2015 (UTC)