Herodoti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 6:
Alikuwa mwenyeji wa mji wa [[Halikarnassos]] katika [[Asia Ndogo]] ([[Uturuki]] ya leo) akasafiri baadaye na kutembelea nchi nyingi, kame vile [[Italia]], [[Bahari Nyeusi]] na [[Misri]]. Alikusanya habari nyingi kutoka watu wengine pia.
 
==MaandishiSelami ==
Herodoti ni maarufu kwa sababu alikusanya habari nyingi za historia ya kale ya mataifa ya [[Asia]], [[Afrika]] na [[Ulaya]]. [[Waroma wa Kale]] walimwona kama "Baba wa historia".