Kingala (Kongo) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
No edit summary
Mstari 1:
'''Kilingala''' (au '''Lingala''') ni [[Lugha za Kibantu|lugha ya Kibantu]] hasa nchini [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Jamhuri ya Kongo]] ambako ni [[lugha ya kitaifataifa]]. Kinazungumzwa na [[Wangala]].

Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilingala kama [[lugha ya kwanza]] katika Jamhuri ya Kidemokrasia imehesabiwa kuwa zaidi ya watu [[milioni]] mbili; pamoja na hayo kuna watu milioni saba ambao huongea Kilingala kama [[lugha ya pili]]. Tena kuna wasemaji wa Kingala nchini [[Jamhuri ya Afrika ya Kati]] na [[Jamhuri ya Kongo]].

Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa [[Malcolm Guthrie]] Kilingala ikokiko katika kundi la C40.
 
==Viungo vya nje==