Mchele : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 3:
[[Image:Nasi lemak.jpg|thumb|250px|Wali na kuku kwenye sahani]]
 
'''Mchele''' ni punje za [[mpunga]] zilizokombolewazilizokobolewa baada ya mavuno na kabla ya kupika. Kama hazikukombolewahazikukobolewa na ziko bado katika ganda ni mpunga. Kama zimepikwa huitwa [[wali]].
 
Watu wengi hununua mchele dukani. Ni punje kavu kabisa zinazokaa muda mrefu hata mwaka bila kuharibika kama hakuna unyevu wala wadudu.