Wali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 10:
 
==Upishi==
Kuna njia mbalimbali za kupika wali. Mara nyingi hupikwa katika maji. Wapishi hupima kikombe kimoja cha mpunga na vikombe viwili vya [[maji]] na kupika hadi maji yamekwisha basi wali imeivaumeiva. Wengine hupendelea kuonja mramara kwa mara mpaka wameridhika. Kuna pia sufuria za umeme hasa kwa upishi wa wali.
 
Katika nchi kama [[Hispania]] mpunga kwanza hukaangwa katika mafuta na maji kuongezwa baadaye. Watu wengine wanapendelea kutumia supu badala ya maji kwa kuongeza utamu wa wali.