Wali : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
|||
Mstari 1:
''Kwa Wali kama cheo cha msimamizi wa eneo tazama "[[liwali]]"''
[[Image:Nasi lemak.jpg|thumb|250px|Wali
'''Wali''' ni [[nafaka]] iliyopikwa kama [[chakula]] na hasa [[mbegu]]
Neno "wali" hutumiwa pia kwa nafaka za [[mtama]] au [[ngano]]
Wali ni kati ya vyakula muhimu zaidi [[duniani]]. Kama chakula cha watu inashindana kidunia na [[ngano]][http://thomasnaef.info/cookware/ .] Hasa watu wa [[Asia ya Mashariki]] na [[Asia ya Kusini]] hutegemea wali kama chakula cha kila siku.
Katika [[Afrika]] wali ni chakula cha pekee kwa watu wengi, isipokuwa pale ambako
Katika [[Afrika ya Mashariki]] chakula kinachopendwa ni [[kuku]] ==Upishi==
Kuna njia mbalimbali za kupika wali. Mara nyingi hupikwa katika [[maji]]. Wapishi hupima [[kikombe]] kimoja cha mpunga na vikombe viwili vya [[maji]] na kupika hadi maji yamekwisha, hapo basi wali umeiva. Wengine hupendelea kuonja mara kwa mara mpaka wameridhika. Kuna pia [[sufuria]] za [[umeme]] hasa kwa upishi wa wali.
Katika nchi kama [[Hispania]] mpunga kwanza hukaangwa katika [[mafuta]] na maji
Watu wengine wanapendelea kutumia [[supu]] badala ya maji kwa kuongeza [[utamu]] wa wali.
Aina mbalimbali za mpunga huleta vyakula tofauti. Kuna wali inayotokea laini sana na aina nyingine inatokea imara zaidi. ▼
▲Aina mbalimbali za mpunga huleta vyakula tofauti.
{{mbegu-biolojia}}▼
[[Jamii:Chakula]]
|