Fasihi simulizi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ich bin herr wikinger http://wolfenstein.wikia.com/wiki/Bubi meine frau wikingerin ist http://wolfenstein.wikia.com/wiki/Frau_Engel
No edit summary
Mstari 1:
'''Fasihi simulizi''' ni kazi ya sanaa inayotumia mdomo (tofauti na maandishi kama kwenye [[fasihi andishi]]) kama njia kuu maalum kwa ajili ya kufikisha ujumbe. Ni sehemu chaya msingi ya [[utamaduni]], na vipengele vyake vingi vinafanya kazi kama katika [[fasihi]] kwa jumla.
 
Katika jamii isiyo na uandishi ni wazi kuwa hakuna fasihi andishi. Hata hivyo kila jamii ina hazina ya mapokeo yapokelewayo mdomo kwa mdomo—kwa mfano [[utenzi]], [[ngano (hadithi)|ngano]] au [[nyimbo za jadi]]—hivyo vyote ni sehemu za fasihi simulizi.