Mifano ya Yesu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|300px|''[[Mfano wa mwana mpotevu'' ulivyochorwa na Guercino.]] {{Yesu Kristo}} '''Mifano ya Yesu''' i...'
 
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Mifano ya Yesu''' inaweza kusomwa katika [[Injili]] zote 4 za [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]], lakini pia katika Injili nyingine zilizoandikwa baadaye. [[Injili ya Luka]] ndiyo inayoongoza kwa wingi wa mifano (50 hivi).
 
Ni sehemu muhimu ya [[utume wa Yesu]], ikiwa sawa na thuluthitheluthi moja ya mafundisho yake yote yaliyotufikia kwa maandishi.
 
[[Wakristo]] wanatia maanani sana mifano hiyo kama maneno ya [[Yesu]] yanayohitaji kufikiriwa zaidi ili kuelewa yanataka kusema nini kweli.<ref name="JDPentecost10">J. Dwight Pentecost, 1998 ''The parables of Jesus: lessons in life from the Master Teacher'' ISBN 0-8254-3458-0 page 10</ref><ref>Eric Francis Osborn, 1993 ''The emergence of Christian theology'' ISBN 0-521-43078-X page 98</ref>