Ekolojia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Ekolojia''' (gir. οἶκος ''oikos'' "nyumba" + -λογία ''logia'' "elimu ya.."]) ni tawi la biolojia inayoangalia viumbehai na mazingira yao,...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Ekolojia''' (gir. οἶκος ''oikos'' "nyumba" + -λογία ''logia'' "elimu ya.."]) ni tawi la [[biolojia]] inayoangalia [[viumbehai]] na mazingira yao, kama ni hali asilia au viumbehai wengine.
Kwa hiyo ukiuliza jinsi gani [[samaki]] wanahusiana na samaki na wanyama wengine na binadamu pamoja na mimea na hali ya maji wanamoishi unauliza
Wataalamu wa ekolojia huchungulia kila kitu kuanzia bakteria ndogo katika [[myeyusho]] wa kuwalisha hadi athira ya [[msitu wa mvua]] kwa [[halihewa]] ya dunia.
|