Zanzibar (Jiji) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
<ref>
Mstari 15:
|longd=39 |longm=12 |longs=0 |longEW=E
|website =
 
}}
[[Picha:Sansibar House of Wonders.jpg|thumb|Beit-al-Ajaib (1907)]]
'''Jiji la Zanzibar''' ni mji mkubwa wa kisiwa cha [[Unguja]] na [[mji mkuu]] wa [[Jamhuri ya Watu wa Zanzibar]], pia ni wilaya katika [[Mkoa wa Unguja Mjini Magharibi]] wa [[Tanzania]].
 
Jiji lina wakazi 206,292 (sensa ya 2002).<ref>[http://web.archive.org/web/20040318024833/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/town.htm]. </ref>
 
Kitovu cha kihistoria ni '''Mji Mkongwe''' (Stone Town) ulioandikishwa katika orodha ya [[UNESCO]] ya "[[Urithi wa Dunia]]" (World Heritage). Nyumba za Mji Mkongwe zilijengwa tangu [[1830]] wakati Sultani [[Sayyid Said]] alipohamisha mji mkuu wake kutoka [[Omani]] kuja Unguja. Kati ya majengo maarufu ni Beit al Ajaib (nyumba ya maajabu), boma la kale, Kanisa Kuu la Kianglikana kwenye mahali pa soko la watumwa na hasa nyumba nyingi za kihistoria za ghorofa zilizojengwa na famila za tabaka ya matajiri Waarabu zenye milango yenye mapambo mazuri.