Liturujia ya Mesopotamia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|[[Amen kwa Kiaramu cha Mashariki.]] '''Liturujia ya Mesopotamia''' ni liturujia maalumu yenye asili katika ...'
 
dNo edit summary
Mstari 1:
[[File:Amen in East Syriac Aramaic.jpg|thumb|[[Amen]] kwa Kiaramu cha Mashariki.]]
'''Liturujia ya Mesopotamia''' ni [[liturujia]] maalumu yenye asili katika [[Mesopotamia]] ya kale, ambayo kimapokeo inatajwa kama imetokana na [[Mtume Thoma]], na inatumiwa hasa na [[Wakristo]] [[Waashuru]] na [[Wakaldayo]] wa [[Iraq]] na nchi za kandokando, pamoja na [[Wamalabari]] wa [[India]] kusini, wengi wao wakiwa [[Wakatoliki]] na waliobaki [[Waorthodoksi wa Mashariki]] ambao wametokana na wale waliotengwa na [[Mtaguso wa Efeso]] ([[431]]).<ref>[http://books.google.com/books?id=otQeg8-xSlEC&pg=PA271&lpg=PA271&dq=Common+Christological+Declaration+between+the+Catholic+Church+and+the+Assyrian+Church+of+the+East&source=web&ots=Pi05Yxg7mK&sig=vAplJKOiYd2Tz-xIldCUwa7uyo4&hl=en&sa=X&oi=book_result&resnum=7&ct=result ]</ref><ref>Qurbana by Fr. Varghese Pathikulangara</ref>
Hata matoleo ya vitabu vya liturujia hiyo ni kiasi kikubwa yamefanywa na Wakatoliki. [[Lugha]] yake hasa ni [[Kiaramu]].