Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Alfabeti ya kifonetiki ya kimataifa''' (ing. International Phonetic Alphabet, kifupi '''IPA''') ni mfumo wa alfabeti inayolenga kuonyesha sauti za lugha...'
 
No edit summary
Mstari 3:
Msingi wa IPA ni [[alfabeti ya Kilatini]] pamoja na [[herufi]] za pekee zilizochukuliwa kutoka alfabeti nyingine. Herufi hizi zinaunganishwa na alama za pekee.
 
Mfano ni alama zinazoonyesha sauti tofauti ambazo mara nyingi zinaonyeshwa kwa herufi "[[A]]" ambazo zinaweza kuwa na sauti tofauti katika lugha na lahaja mbalimbali kama vile a {{Audio|Open front unrounded vowel.ogg|▶}} , ɐ{{Audio|Near-open central unrounded vowel.ogg|▶}}, ɑ {{Audio|Open back unrounded vowel.ogg|▶}}, ɒ {{Audio|Open back rounded vowel.ogg|▶}}, æ {{Audio|Near-open front unrounded vowel.ogg|▶}}, ɑ̃ au ʌ {{Audio|Open-mid back unrounded vowel.ogg|▶}} ''(boyfa pembetatu ndogo kwa kusikia sauti)''.
 
Orodha ya alama zote za IPA pamoja na sauti inapatikana katika wikipedia ya Kijerumani hapa [[de:Liste_der_IPA-Zeichen]]