Moroko : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 95:
Mwanzoni Moroko ilikuwa sehemu ya [[milki ya khalifa]] ya [[Waomawiyya]] waliotawala [[Dameski]] ([[Siria]]). Baada ya kupinduliwa kwa Waomawiyya na [[Waabasiya]] wa [[Baghdad]] ([[Iraq]]) mkimbizi Mwarabu [[Idris ibn Abdallah]] ([[788]]-[[791]]) alikusanya makabila ya Waberber na kuunda milki ya kujitegemea. Hii ilikuwa mwanzo wa Moroko kuwa milki ya Kiislamu inayojitawala.
 
=== Watawala wa kienyeji ===
Vipindi vya [[historia]] husebabiwa kufuatana na familia zilizofuatana za wafalme Waarabu au Waberber.
[[Picha:Map Almoravid empire-es.svg|thumb|300px|Eneo la utawala wa Wamurabitun]]