Kibhojpuri : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kibhojpuri''' ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi, Mauritius na Nepal inayozungumzwa na Wabhojpuri. Mwaka...'
 
Mauritius --> Morisi
Mstari 1:
'''Kibhojpuri''' ni [[Lugha za Kihindi-Kiulaya|lugha ya Kihindi-Kiulaya]] nchini [[Uhindi]], [[MauritiusMorisi]] na [[Nepal]] inayozungumzwa na [[Wabhojpuri]]. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kibhojpuri imehesabiwa kuwa watu 37,800,000 nchini Uhindi na 336,000 nchini MauritiusMorisi. Pia kuna wasemaji 1,580,000 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kibhojpuri iko katika kundi la Kiaryan.
 
==Viungo vya nje==
Mstari 13:
[[Jamii:Lugha za Uhindi]]
[[Jamii:Lugha za Nepal]]
[[Jamii:Lugha za MauritiusMorisi]]