Herodoti : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
Mstari 3:
'''Herodoti wa Halikarnassos''' ([[484 KK]] hadi [[425 KK]]; [[gir.]] Ἡρόδοτος Ἁλικαρνᾱσσεύς ''hēródotos halikarnāsseús'') alikuwa mwandishi wa [[historia]] wakati wa [[Ugiriki ya Kale]].
 
==Selami Maisha==
Alikuwa mwenyeji wa mji wa [[Halikarnassos]] katika [[Asia Ndogo]] ([[Uturuki]] ya leo) akasafiri baadaye na kutembelea nchi nyingi, kame vile [[Italia]], [[Bahari Nyeusi]] na [[Misri]]. Alikusanya habari nyingi kutoka watu wengine pia.
 
==Selami Maandishi==
Herodoti ni maarufu kwa sababu alikusanya habari nyingi za historia ya kale ya mataifa ya [[Asia]], [[Afrika]] na [[Ulaya]]. [[Waroma wa Kale]] walimwona kama "Baba wa historia".