Wanzilishaji wa akaunti, Warasimu, Watumiaji waliothibitishwa, Interface administrators, IP block exemptions, Wakabidhi
49,121
edits
No edit summary |
No edit summary |
||
'''Bukoba''' ni [[manisipaa]] katika nchi ya [[Tanzania]] ambayo ni makao makuu ya [[Mkoa wa Kagera]]. Eneo lake liko chini ya Halmashauri ya Bukoba mjini (Bukoba Municipal Council) yenye madaraka ya [[wilaya]]. Kulingana na sensa ya mwaka 2012 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 128,796<ref>[http://http://www.wavuti.weebly.com/uploads/3/0/7/6/3076464/census20general20report20-202920march202013_combined_final20for20printing1.pdf Sensa ya 2012, Kagera - Bukoba Municipal Council]</ref>.
Bukoba iko kando la [[Ziwa Viktoria Nyanza]] upande wa magharibi. Mji ulianzishwa kuanzia 1890 wakati Wajerumani waliteua sehemu hii kwa boma la jeshi lao la kikoloni; likaendelea kuwa makao makuu ya [[mwakilishi mkazi]] Mjerumani katika falme ndogo za Karagwe, Washubi na Wahaya ambazo hazikuingizwa bado moja kwa moja katika koloni ya [[Afrika ya
==Marejeo==
|