Sanamu ya Uhuru : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|az}} (5) using AWB (10903)
No edit summary
Mstari 6:
Imetengenezwa kwa kutumia mabati ya [[shaba]] yanayolala juu ya kiunzi cha [[feleji]] ndani yake. Kwa jumla uzito wake ni tani 225. Rangi imekuwa kibichi kwa sababu shaba imeoksidishwa kwa nje.
 
Umbo la sanamu ni mwanamke anayeshika tochi[[mwenge]] juu ya kichwa chake. Mwanamke ni ishara ya uhuru na mchongaji alitaka kuweka kumbukumbu ya kufutwa kwa utumwa katika Marekani mwaka 1861. Umbo linaiga mifano ya sanaa ya [[Ugiriki ya Kale]] na [[Roma ya Kale]]; mungu wa Kigiriki Helios alionyeshwa kwa mavazi yaleyale na pia na taji kama sanamu ya uhuru; kwa Helios ncha za taji zilikuwa ishara ya mishale ya jua; kwenye sanamu ya uhuru mishale saba inadokeza kwa bahari saba na mabara saba na ujumbe wa uhuru kwa wote. Mwenge ni ishara ya [[zama za mwangaza|mwangaza]] unaotoka kwenye uhuru kwa mataifa yote.
 
Kusudi la zawadi ilikuwa kuweka kumbukumbu kwa uhusiano mwema kati ya Marekani na Ufaransa na msaada uliofika Marekani kutoka Ufaransa wakati wa vita ya uhuru dhidi ya Uingereza.