Udikteta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 17:
=== Sheria na Haki za binadamu ===
Kila nchi inahitaji sheria na pia udikteta hauwezi kuonmgozakuongoza bila sheria. Lakini tabia muhimu ya udikteta ni ya kwamba dikteta ana nafasi au uwezo wa kupuuza sheria au kufanya maazimio nje ya sheria na hakuna njia ya kumlazimisha kutii sheria.
 
Mara nyingi uhuru na haki za wananchi zimepungukiwa sana au kuondolewa kabisa kwenye mfumo wa udikteta. Tabia muhimu ya demokrasia ni uhuru wa [[mahakama]]. Katika udikteta serikali inateua mahakimu na kuingilia kati katika maazimio ya kesi. Kama kesi inaangaliwa na serikali ni kawaida ya kwamba hukumu huamuliwa nje ya mahakama.