Tofauti kati ya marekesbisho "Maabara"

359 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
[[Jamii:sayansi{{}}]]→‎Maabara ya biolojia
([[Jamii:sayansi{{}}]]→‎Maabara ya biolojia)
===Maabara ya biolojia===
Ni jengo au chumba maalumu kwa ajili ya kufanyia majaribio ya kibiolojia yahusuyo [[viumbe hai]].
SHERIA ZA MAABARA.
1.Usiingie ndani ya maabarampaka uruhusiwe.
2.Usikimbie ndani ya maabara.
3.Usile kituchochote ndani ya maabara.
4.Usitumie kifaa kilichoharibika.
5.Ripoti tatizo lolote litakalojitokeza.
 
SIFA ZA MAABARA.
1.Iwe na madirisha makubwa.
2.Iwe na milango miwili inayofunguka kwa nje.
3.Iwe na mfumo mzuri wa umeme.
4.Iwe na vifaa vya kutosha.
 
{{mbegu-sayansi}}
Anonymous user