Chama cha Mapinduzi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Chama cha Mapinduzi''' (CCM) ni [[chama tawala]] nchini [[Tanzania]].

CCM ilizaliwa tarehe [[5 Februari]] [[1977]] baada ya kuungana kwa vyama vya [[Tanganyika African National Union]] (TANU) kilichokuwa kikitawala [[Tanzania Bara]] na [[Afro-Shirazi Party]] (ASP) kilichokuwa chama tawala cha [[Zanzibar]] wakati huo. Chama cha MapinduziTANU kilikuwa kikiongozwa na [[Mwalimu Nyerere]] na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya [[Amaan Karume]].
 
== Itikadi ==
[[File:CCM stronghold in rural Tanzania.jpg|thumb|CCM kina wafuasi wengi vijijini.]]
Kwa miaka mingi CCM ilikuwa ikifuata [[siasa]] ya [[Ujamaa na Kujitegemea]]. [[Itikadi]] hii ilipewa nguvu za kisera mwaka [[1967]] lilipotangazwa [[Azimio la Arusha]].

Kutokana na [[azimio]] hilo [[uchumi]] uliwekwa mikononi mwa [[umma]]. Itikadi hiihiyo pia ilisisitiza umuhimu wa kuishi pamoja hasa katika [[vijiji vya Ujamaa]].
 
== Uchaguzi ==
CCM imekuwa ikishinda [[Uchaguzi|chaguzi]] za [[Urais]] toka [[mfumo wa vyama vingi]] uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata [[idadi]] kubwa ya [[wabunge]] wa [[Bunge la Muungano]] na [[Baraza la Wawakilishi]].
 
= CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa [[Bunge la Muungano]] na [[Baraza la Wawakilishi]]. Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka [[1995]], [[2000]], [[2005]] na [[2010.]] na viongozi walio wezawalioweza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafataowafuatao: Mh.William benjaminiBenjamini mkapaMkapa na [[Jakaya MMrisho Kikwete]].hawa Hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini. =
 
= CCM imekuwa ikishinda chaguzi za Urais toka mfumo wa vyama vingi uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata idadi kubwa ya wabunge wa [[Bunge la Muungano]] na [[Baraza la Wawakilishi]]. Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka 1995, 2000, 2005 na 2010.na viongozi walio weza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafatao Mh.William benjamini mkapa na Jakaya M Kikwete.hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini. =
Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne:
* [[Julius Nyerere]], 1977 - 1990,
* [[Ali Hassan Mwinyi]] 1990 - 1996
* [[Benjamin Mkapa]] 1995 - 2005,
* [[Jakaya Kikwete]] 2006 -2015 hadi sasa
 
== Viungo vya nje ==