Tofauti kati ya marekesbisho "Chama cha Mapinduzi"

no edit summary
'''Chama cha Mapinduzi''' (CCM) ni [[chama tawala]] nchini [[Tanzania]].
 
==Historia==
CCM ilizaliwa tarehe [[5 Februari]] [[1977]] baada ya kuungana kwa vyama vya [[Tanganyika African National Union]] (TANU) kilichokuwa kikitawala [[Tanzania Bara]] na [[Afro-Shirazi Party]] (ASP) kilichokuwa chama tawala cha [[Zanzibar]] wakati huo. Chama cha TANU kilikuwa kikiongozwa na [[Mwalimu Nyerere]] na Afro-Shiraz Party kilikuwa chini ya [[Amaan Karume]].
 
 
== Uchaguzi ==
CCM imekuwa ikishinda [[Uchaguzi|chaguzi]] za [[Urais]] toka [[mfumo wa vyama vingi]] uliporejeshwa nchini Tanzania. Chama hicho kimekuwa pia kikipata [[idadi]] kubwa ya [[wabunge]] wa [[Bunge la Muungano]] na [[Baraza la Wawakilishi]].
 
Chama hicho kimekuwa pia kikipata [[idadi]] kubwa ya [[wabunge]] wa [[Bunge la Muungano]] na [[Baraza la Wawakilishi]], ingawa [[vyama vya upinzani]] vilitoa malalamiko kuhusu utekelezaji wa [[haki]] na uchakachuaji wa [[kura]].
Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka [[1995]], [[2000]], [[2005]] na [[2010]] na viongozi walioweza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafuatao: William Benjamini Mkapa na [[Jakaya Mrisho Kikwete]]. Hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini.
 
Chaguzi za vyama vingi Tanzania baada ya kurejeshwa kwa mfumo huo zilifanyika mwaka [[1995]], [[2000]], [[2005]] na [[2010]] na viongozi walioweza kuwa washindi kakati chama hicho ni kama wafuatao: William Benjamini[[Benjamin Mkapa]] na [[Jakaya Mrisho Kikwete]]. Hawa ndio viongozi waliongoza nchi kipindi cha miaka ishirini.
 
Katika historia ya CCM kumekuwa na wenyeviti wanne: