Sanaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sanaa ni uzuri unaojitokeza katika umbo lililo sanisanifiwa na uzuri huo huwa na maana fulani.pia sanaa ina tanzu kama..ususi, ushonaj, uchongaji,uchoraji, ususi, muziki, ufinyanzi, udalizi n.k.
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:MonaLisa sfumato.jpeg|right|thumb|280px|Sehemu ya ''[[La Gioconda]], [[mchoro]] wa [[Leonardo da Vinci]] unaotunzwa huko [[Paris]] ([[Ufaransa]]).]]
'''Sanaa''' ni [[ufundi]] unaoutumia [[mwanadamu]] ili kuwasilisha [[fikra]] au mawazo yaliyo ndani ya [[akili]] yake. Vilevile sanaa ni [[uzuri]] unaojiibua katika [[umbo]] lililosanifiwa.
 
Kusanifu ni kuumba, kufanya jambo au kitu kwa kutumia ufundi/ustadi ili kiweze kuvutia watu kwa uzuri wake. Mtu hueleza [[hisia]] zinazomgusa kwa kutumia umbo fulani ambalo limesanifiwa.
 
Hivyo kazi yoyote ya sanaa inategemewa ioneshe ufundi wa hali ya juu ili iwe na mvuto kwa [[hadhira]] yake.
 
Tunaweza kuona [[kazi]] ya sanaa kupitia [[tanzu]] za [[uchoraji]], [[utarizi]], [[ususi]], [[fasihi]] na kadhalika.
 
Kila umbo huwa na [[nyenzo]] zinazotumika katika kuliumba umbo hilo. Kwa mfano katika [[uchongaji]] kuna [[mti]] ([[gogo]]), [[panga]], [[tezo]], [[msasa]], [[rangi]] na kadhalika.
 
'''Sanaa''' ni ufundi unaoutumia mwanadamu ili kuwasilisha fikra au mawazo yaliyo ndani ya akili yake. Vilevile sanaa ni uzuri unaojiibua katika umbo lililosanifiwa. Kusanifu ni kuumba, kufanya jambo au kitu kwa kutumia ufundi/ustadi ili kiweze kuvutia watu kwa uzuri wake. Mtu hueleza hisia zinazomgusa kwa kutumia umbo fulani ambalo limesanifiwa. Hivyo kazi yoyote ya sanaa inategemewa ioneshe ufundi wa hali ya juu ili iwe na mvuto kwa hadhira yake. Tunaweza kuona kazi ya sanaa kupitia [[uchoraji]], [[utarizi]], [[ususi]], [[fasihi]], na kadhalika. Kila umbo huwa na nyenzo zinazotumika katika kuliumba umbo hilo. Kwa mfano katika [[uchongaji]] kuna [[mti]] ([[gogo]]), [[panga]], [[tezo]], [[msasa]], [[rangi]], na kadhalika.
==Aina za sanaa==
Hizi ni baadhi tu ya aina ya sanaa:
Line 11 ⟶ 19:
*[[Maonesho]]
*[[Ufumaji]]
*[[Ushonaji]]
*[[Uchoraji]] na,
*[[Ufinyanzi]]
 
==ViungoUpekee vyawa Njefasihi==
Kati ya hizo, fasihi ni tanzu ya pekee kwa sababu zifuatazo:
*1. Hutumia [[lugha]].
*2. Huwa na wahusika maalumu.
*3. Huwa na [[muundo]] unaoeleweka.
*4. Hutumia [[mandhari]] halisi au ya kubuniwa.
*5. Huwa na mtindo unaoeleweka.
*6. Huwa na [[fani]] na [[maudhui]].
 
==Viungo vya nje==
* {{cite encyclopedia |last1=Cowan |first1=Tyler |authorlink=Tyler Cowan |editor= [[David R. Henderson]] (ed.) |encyclopedia=[[Concise Encyclopedia of Economics]] |title=Arts |url=http://www.econlib.org/library/Enc/Arts.html |year=2008 |edition= 2nd |publisher=[[Library of Economics and Liberty]] |location=Indianapolis |isbn=978-0865976658 |oclc=237794267}} – A look at how general economic principles govern the arts.