Jua : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Removing Link FA template (handled by wikidata) - The interwiki article is not featured
No edit summary
Mstari 8:
Kikemia masi ya jua ni hasa [[hidrojeni]] (73%) na [[heli]] (25%). Kiasi kinachobaki ni [[elementi]] nzito zaidi kama vile [[oksijeni]], [[kaboni]], [[chuma]] na [[nyingine]]. Hata kama hizi elementi nzito ni asilimia ndogo tu ya masi ya jua bado zinalingana na mara 5,000 za masi ya dunia kutokana na ukubwa wa jua.
 
Kutokana na tafiti mbalimbali zinaonesha Jua liliundwa takriban miaka Bilioni 4.57 iliyopita kutoka katika Gimba kubwa la mawingu lililoundwa na asilimia kubwa ya haidrojeni
Jua inatoa [[mwanga]], [[joto]] na [[mnururisho]] mwingine wa aina mbalimbali. Asili ya nishati hii ni mchakato wa [[myeyungano wa kinyuklia]] ndani yake. Katika myeyungano huu hidrojeni inabadilishwa kuwa heli. Elementi nyingine zinatokea pia kwa kiasi kidogo. Badiliko kutoka hidrojeni kwenda heli inaachisha nishati inayotoka kwenye jua kwa njia ya mnururisho.